Mi 10 tena kwa rais Samia na ccm mbele kwa mbeleAmehofia huyo Kafulila angeirudisha Chadema madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao, au!!
Kwa hali hii, Katiba Mpya haikwepeki! Yaani unamteua mtu leo, kesho unamtengua/kumhamisha juu kwa ju, na hakuna wa kukuhoji!!
Only in Tanzania!!
Seniority imeua sana our economy. Business as usual. We need visionary leaders and managers irrespective of sex, religion, age, and "utumbili" wao.Rais SSH alijikwaa kidogo kwenye uteuzi Arusha.. alipaswa kumweka Mkuu wa Mkoa Mwandamizi, na ndivyo alivyorekebisha.. Bado Iringa..
Aah jamani Mongera ni mzoefu ukuu wa mkoa,dogo wacha apate uzoefu mikoa ya kati ambayo bado sio jiji,au siyo mkuu!?Kazi ya JK
Wewe ndiye hujielewi. RC anakuwa RC baada ya kuapishwa. Mwendazake aliwaharibu akili nyie mataga!Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Tangu umfahamu Kafulila kabuni nini?Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Kuna kitu Raisi SAMIA kashtuka ndio maana Kamtoa Kafulila mbio toka Arusha na kampeleka SimiyuSijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Mnashangaza sana, Kafulila anakuwaje mbunifu wakati amekuwa akihangaika kutafuta fursa kwenye vyama vya siasa? Hawa wachumia tumbo kuwaita "wabunifu" ni kutolitendea haki neno "wabunifu"!Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Hajielewi wapi? mbona povu for petty things? kuteua na kutengua kuhamisha ni mamlaka yake.Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
una ushahidi wa madai yakoMama yake kapeleka ombi kwa JK,then JK kamuomba SSH. Mambo yakaenda.
Watu watauza sana kiwese .Tope la Tanesco hatajitoa, msimu wa wauza majenereta huu na umeme wa dharura.
Mikumbukwe mara ngapi bwashee?Umechangia kinyonge! Hadi huruma!! 🥵Yaani hata hukumbukwi tu! Huna tofauti kabisa na Kamanda wangu Pascal Mayalla
🤣🤣🤣Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Huyo mama ni kama robot.Hajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
There is a difference between creativity and innovation. By the way, my bro Abubakar kupelekwa Pwani ni demotion right?You wanna tell us that kuna mikoa ya kujifunzia?Probably, ndiyo maana maendeleo kwenye hiyo mikoa hakuna maana ni ya kujifunzia?Really?Are you guys serious?Mnashangaza sana, Kafulila anakuwaje mbunifu wakati amekuwa akihangaika kutafuta fursa kwenye vyama vya siasa? Hawa wachumia tumbo kuwaita "wabunifu" ni kutolitendea haki neno "wabunifu"!
Kama anashindwa kufanya kwa ufanisi vitu vidogo hivi, je ataweza kufuatilia kwa umakini mradi wa LNG Lindi wa 30bn USD ( 70 trl Tzs) ambao anataka usainiwe kwa dharura?Hajielewi wapi? mbona povu for petty things? kuteua na kutengua kuhamisha ni mamlaka yake.
Amehofia huyo Kafulila angeirudisha Chadema madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao, au!!
Kwa hali hii, Katiba Mpya haikwepeki! Yaani unamteua mtu leo, kesho unamtengua/kumhamisha juu kwa ju, na hakuna wa kukuhoji!!
Only in Tanzania!!