Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

Inahusikaje mkuu au umesikia Mimi ni ndugu yake
Jibu swali acha sarakasi kwani ulivyomtaja Samuya kama mama kwani ni mama yako huyo?

Hao aliowatembelea ni ndugu zako kwani hadi uione huruma kutoka kwa huyo uliyemtaja kama mama mwenye huruma?

Polepole ni mtanzania ambaye haonekani baada ya kuvamiwa alipokua akiishi tangu October 6 mwaka jana huyo mama unayesema ana huruma mbona hajasema chochote?
 
Baada ya zomea zomea juyake jana pale mtaa wa jangwani. Kaamua kupunguza sukari kwa hz mbanga.
Kazi ni kipimo cha utu
 
basi ishu ya basi jipya, parade ya kichovu ikipewa coverage ya maana, kwenda jangwani na leo= SCRIPT
 
Back
Top Bottom