Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

Samia ni Content creator. CHADEMA walipata msiba akashindwa hata kutoa pole mtandaoni. Ana roho mbaya sana
"Content" za kilaghai; ambazo kila mwenye akili anazijuwa.
Matapeli ni wazuri sana katika kazi hiyo.
 
Na wala hata haoni aibu anapoigiza hivi!
Hivi hajui lolote katika matukio mabaya yote yaliyotokea chini yake; na kujifanya kama yeye hayamhusu kabisa?
Nyang'au halina hofu tena lina kiu ya damu zaidi na zaidi
 
Akiweza awatembelee na wafiwa wa mauaji ya okt.29-1Nov.2025! Ataonekana wa maana sana!
 
Huyo mgonjwa hatarejea ground tena.
Jua limeshazama.
Hata Frank Dumayo ilikuwa hvhv,
Jamaa ilimlazimu kustaafu kabla ya umri..siku hizi ni Pundit, azam media
 
Back
Top Bottom