Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mbona leo anawakataa watoto wake?
'Chawa wa Mama' nao anawakataa???
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Au anawatuma huku anatuzuga? Wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kwahiyo chawa wake akina Lucas wanasemaje kwenye hili maana anazidi kuwanawa kila siku
 
Aisee amewapiga na jiwe gumu Sana machawa wake. Akina Sufian sijui wanajiskiaje. Aibu sana
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.

Safi sana. Hiyo ndiyo kauli anayotakiwa kuwa nayo kiongozi. Tena aseme kabisa hawataki chawa, wala sifa za kinafiki kama zile za akina Mwashambwa.
 
Back
Top Bottom