Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Hahahaha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Anayewaamini wanasiasa anyooshe mkono juu
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwashamba!
 
uskue na wasiwasi mh.Rais, comrade Dr SSH,
tutaendelea kuchapa kazi kwa bidii zaidi na daima siku zote usawa, haki na uadilifu ndio dira na uelekeo wetu katika kuwatumikia na kuwahudumia waTanzania wote 🐒
 
Back
Top Bottom