L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 11, 2024 Thread starter #201 Hismastersvoice said: LUCAS MWASHAMBWA UNATAFUTWA MBEYA. Click to expand... Natafutwa na nani.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 11, 2024 Thread starter #202 Matrix19 said: Jibu ni kuwa hana tasnifu yoyote. Na chawa kama wewe uliyekimbia shule hujaelewa hata tasnifu ni nini . I rest my case muda wa kuwajibu vilaza kwa asubuhi ya leo nimefungia hapa. Click to expand... Kilaza Mwenyewe usiye na mbele wala nyuma. Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu mpendwa kwa sasa ndio tegemeo pia la Dunia nzima katika kuhakikisha kuwa Dunia inajielekeza katika matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.
Matrix19 said: Jibu ni kuwa hana tasnifu yoyote. Na chawa kama wewe uliyekimbia shule hujaelewa hata tasnifu ni nini . I rest my case muda wa kuwajibu vilaza kwa asubuhi ya leo nimefungia hapa. Click to expand... Kilaza Mwenyewe usiye na mbele wala nyuma. Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu mpendwa kwa sasa ndio tegemeo pia la Dunia nzima katika kuhakikisha kuwa Dunia inajielekeza katika matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Aug 24, 2024 #203 Uhakika gani kama Mungu atampa uhai mpaka 2030?. Jiwe alipanga awe rais miaka30 hatimaye Mungu akaingilia kati?!
Uhakika gani kama Mungu atampa uhai mpaka 2030?. Jiwe alipanga awe rais miaka30 hatimaye Mungu akaingilia kati?!
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Aug 24, 2024 #204 Lucas Mwashambwa said: Natafutwa na nani. Click to expand... Acha uchawa fanya kazi
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Aug 24, 2024 #205 Ku Zakayo Mtoza Ushuru said: Uchaguzi wa 2025 umekwisha anaandaliwa Mrundi Kafulila kuelekea 2030 ni bandika bandua Kidumu Chama Cha Mapinduzi😀 Click to expand... Kumbe tumbili ni mrundi?
Ku Zakayo Mtoza Ushuru said: Uchaguzi wa 2025 umekwisha anaandaliwa Mrundi Kafulila kuelekea 2030 ni bandika bandua Kidumu Chama Cha Mapinduzi😀 Click to expand... Kumbe tumbili ni mrundi?
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Aug 24, 2024 #206 Lucas Mwashambwa amka utajikojolea
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 24, 2024 Thread starter #207 ILAN RAMON said: Lucas Mwashambwa amka utajikojolea Click to expand... Acha ujinga wako hapa wewe.
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Aug 24, 2024 #208 Lucas Mwashambwa said: Acha ujinga wako hapa wewe. Click to expand... Sio kila ukiota ndoto uje uandike
Lucas Mwashambwa said: Acha ujinga wako hapa wewe. Click to expand... Sio kila ukiota ndoto uje uandike