Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jibu ni kuwa hana tasnifu yoyote.

Na chawa kama wewe uliyekimbia shule hujaelewa hata tasnifu ni nini .

I rest my case muda wa kuwajibu vilaza kwa asubuhi ya leo nimefungia hapa.
Kilaza Mwenyewe usiye na mbele wala nyuma. Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu mpendwa kwa sasa ndio tegemeo pia la Dunia nzima katika kuhakikisha kuwa Dunia inajielekeza katika matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.
 
Uhakika gani kama Mungu atampa uhai mpaka 2030?.
Jiwe alipanga awe rais miaka30 hatimaye Mungu akaingilia kati?!
 
Back
Top Bottom