Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #201
Natafutwa na nani.LUCAS MWASHAMBWA UNATAFUTWA MBEYA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafutwa na nani.LUCAS MWASHAMBWA UNATAFUTWA MBEYA.
Kilaza Mwenyewe usiye na mbele wala nyuma. Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu mpendwa kwa sasa ndio tegemeo pia la Dunia nzima katika kuhakikisha kuwa Dunia inajielekeza katika matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.Jibu ni kuwa hana tasnifu yoyote.
Na chawa kama wewe uliyekimbia shule hujaelewa hata tasnifu ni nini .
I rest my case muda wa kuwajibu vilaza kwa asubuhi ya leo nimefungia hapa.
Acha uchawa fanya kaziNatafutwa na nani.
Kumbe tumbili ni mrundi?Uchaguzi wa 2025 umekwisha anaandaliwa Mrundi Kafulila kuelekea 2030 ni bandika bandua
Kidumu Chama Cha Mapinduzi😀
Acha ujinga wako hapa wewe.Lucas Mwashambwa amka utajikojolea
Sio kila ukiota ndoto uje uandikeAcha ujinga wako hapa wewe.