Huyu ni ndumilakuwili,mbona aku step down
Tuseme tu ukweli umejaribu kwenda kwenye taasisi za serikali ukaona huduma zao zikoje ukifananisha na simba wa chato huduma ilikuaje.
Mama amenena fact. # Kazi iendelee
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Ukisoma na kusikia hizi dots kwa kweli inatia mashaka sana kuhusu mwendazakeHuyu mama anataka uwachekee watumishi wa umma.
Heshima ya moyoni hiyo haipewe serikalini, hiyo inatolewa nyumbani.
Huyu mama ni kimeo.
... uko sahihi. Kuna wajinga wanalazimisha bango aliloacha Magufuli lisomwe upande mmoja tu; hawataki kabisa upande wa pili wa bango lake uonekane. That's very wrong!
Hongera sana kwa comment yenye uweledi.Ukweli unauma lakini Rais ni bora anakuwa mkweli. Cha kushangaza bado kuna watu wanataka Raisi naye asiwe mkweli na kuaminisha watu uongo maana siku hizi Watanzania wengine wanapenda uongo kuliko ukweli. Nakushukuru Raisi kwa kuwa mwazi. Wafanyakazi wa Serikali wanatakiwa kutengeneza heshima ya kazi sio kumuogopa Raisi bali utamaduni wa kazi, heshima, kufuata sheria na kutopenda rushwa
... Samia bado anaendelea kutengeneza bango lake; halijakamilika bado. Siku zaja litapaswa kuwekwa hadharani. Muhimu kwake ajitengenezee bango lililo bora.Tunaomba na wewe utupe Upande wa pili wa SAMIA
Simba wa BurigiSimba wa Yuda
Jiwe
Shujaa
Mwendazake
Chuma
Chattle Master
Jina gani lingine nimesahau...
Hakuna bora katika swali lakoHujajibu swali ..Mimi sijaulizia mishahara Wala ajira
KwaniniHakuna bora katika swali lako