Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Legacy ya magufuli isha jifia alikuwa mtesi wa watanzania yele hukumu ina msubiri huko kuzimuni
We ongea ila kabsa moyon unajua mama hakubalik saivi haupigi mwingi anaubutua mwingi Hana la maana na ipo siku ata wewe utakubari anafanya ovyo 2025 upinzani up to the air
 
Pole sana kwa kuishi kwenye njozi.

Kikubwa Jiwe lilishageuka majivu sasa.
Sasa kibaya hayo majivu bado yanakutesa ukisikia Jiwe anazungumziwa tu unachefukwa unakosa amani ya moyo.

Mimi mwenzako naenjoy tu kabla ya Simba wa yuda hajawa rais na hata alipokuwa rais pia sasa naendelea kuenjoy, nakuonea huruma wewe mkuu maana haipiti siku humu bila kutajwa simba wa yuda kitu ambacho kinakuchefua sana unakosa raha.
 
Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi
Amekurupuka,tumsamehe.Mimi ni Mkristo kadiri ya Biblia Takatifu Simba wa Yuda ni moja wapo ya jina la sifa aliloitwa Yesu kuonyesha ukuu wake,sasa kwa kauli ile ya Mama Samia inaleta ukakasi sana kwetu Wakristo,lkn Mimi nimemsamehe naamini MUNGU pia atamsamehe.
 
Yes! The best kwa ukatili na uuaji na utejaji na ubabe wa kishamba
Ivi hii sera mbona ndo wapinzani walikuja nayo 2020 na hawakutoboa rais Gani hakudeal na wabayawake kikwete na babu sea vp?,Nyerere na wapgania uhuru wenzie usije niambia Sina ushahidi maana ata waliopotezwa hamna ushahidi kama alihusika
 
Amekosea Sana.... Ila nikakumbuka pale mwendazake alipotamka hadharani kuwa mtangulizi wake Alifanya mambo yahovyo Sana alihali nae alikuwa kwenye baraza la mawaziri... Wacha aendelee kutupatia mipasho wananchi tujipambanie wenyewe
 
Huyo magufuli aliwaambia yeye ni mungu? Mbona yeye aliwasema sana wenzie tena kwa maneno ya hovyo mbona hamkusema ajiuzulu acheni ubifsi wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Lakini ile
rojorojo ya bata si ndo kuharisha kwenyewe..!!! Au siku hizi kuharisha yanatoka magumu!?
 
Samia ni binadamu.
Kukosea ni kawaida.
Uenda alikuwa anapitia mazito kipindi kile Sasa amepata nafuu.
 
Back
Top Bottom