We ongea ila kabsa moyon unajua mama hakubalik saivi haupigi mwingi anaubutua mwingi Hana la maana na ipo siku ata wewe utakubari anafanya ovyo 2025 upinzani up to the airLegacy ya magufuli isha jifia alikuwa mtesi wa watanzania yele hukumu ina msubiri huko kuzimuni
Sasa kibaya hayo majivu bado yanakutesa ukisikia Jiwe anazungumziwa tu unachefukwa unakosa amani ya moyo.Pole sana kwa kuishi kwenye njozi.
Kikubwa Jiwe lilishageuka majivu sasa.
Kwasabab mnajua dunuiani amekiwasha mnakimbilia hukumu kuzimu lkn alkua the bestLegacy ya magufuli isha jifia alikuwa mtesi wa watanzania yele hukumu ina msubiri huko kuzimuni
Yes! The best kwa ukatili na uuaji na utejaji na ubabe wa kishambaKwasabab mnajua dunuiani amekiwasha mnakimbilia hukumu kuzimu lkn alkua the best
Mungu au mungu?Uliwai lalamika wapi kabudi alipomuita Magufuli Mhe. Mungu?
Amekurupuka,tumsamehe.Mimi ni Mkristo kadiri ya Biblia Takatifu Simba wa Yuda ni moja wapo ya jina la sifa aliloitwa Yesu kuonyesha ukuu wake,sasa kwa kauli ile ya Mama Samia inaleta ukakasi sana kwetu Wakristo,lkn Mimi nimemsamehe naamini MUNGU pia atamsamehe.Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi
Si ninyi ndo mlimuita mungu.Ila kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?
Ivi hii sera mbona ndo wapinzani walikuja nayo 2020 na hawakutoboa rais Gani hakudeal na wabayawake kikwete na babu sea vp?,Nyerere na wapgania uhuru wenzie usije niambia Sina ushahidi maana ata waliopotezwa hamna ushahidi kama alihusikaYes! The best kwa ukatili na uuaji na utejaji na ubabe wa kishamba
Binadamu vigeugeuTatizo vichwa vyao havitunzi kumbukumbu.Hivi kuna mtu aliyekuwa fundi kutukana na kutoa kauli tata na zenye kuchukiza kama bwana yule?
Ilo likowazi maana ata aibe kura hatoboi labda afute uchaguzi wapinzani hawahitaji kampeni ata2025 Mbona inachelewa hivyo??. Kuna Mtu ataangukiwa na Kitu Kizoto Kichwani
Chawa kaziniIla kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?
Chawa at workRaisi wetu hawezi kujihuzulu kwa makelele ya mlevi mmoja kama wewe .....
Lakini ileHuyo magufuli aliwaambia yeye ni mungu? Mbona yeye aliwasema sana wenzie tena kwa maneno ya hovyo mbona hamkusema ajiuzulu acheni ubifsi wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Ukweli lazima usemwe,.wewe endelea kulamba asali mkuu.Huo mpasuko uliotokea kwenye jamii uko wapi?Au umetokea moyoni mwako?Acha kukuza mambo!Hakutajwa mtu.Piga kazi.Unajilazimishia kupata magonjwa ya moyo bure!