Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru
 
Wanaomtetea marehemu magufuri ni mashetani wenzie.

Kwa jinsi alivyokuwa na roho mbaya yaani nashangaa kuona Kuna mtu anamtetea!

Yule basi tu lakini ingekuwa huko jehanum tunawasiliana, basi tungepeleka Kuni Ili aongezewe moto.
Kila zama na kitabu chake bakiza maneno
 
Pole sana naona bado una majonzi ya kuondokewa na Meco
 
Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru
Itakuwa amefanya vyema sana maana yeye alikuwa kwenye huo mtumbwi hivyo anajua yote yaliyo fanyika
 
Mama kaupiga mwingi sana kwa kutoa madhaifu ya utawala wao uliopita na tunasubiria atuambie mengi
 
Kwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumo
Umejibu kianajeshi zaidi mkuu. Ungelegeza maneno kidogo. Ukweli unauma

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumo
Hata asipoomba atamfanyaje, sanasana atakuja huku jamii forum kumponda, na ka uzi kanafutwa, anywe panadol tu atulie mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Niambie ni ninchi hipi iliyeweza kuendelea bila kutumia hofu na woga?hao wazungu mnaowamba misaada ukigundulika unakwepa kulipa Kodi tu unafungwa na kufirisiwa,ukikumbwa na ufisadi ndio baraa hata haufahi kuwa mtumishi wa umma,ngoja tuone Samia anayetaka nidhamu ya rohoni utafikiri anaongoza kanisa,mda utaongea tu.
Pole sana naona bado una majonzi ya kuondokewa na Meco
N
 
Aache kupondaponda mwenzake, afanye kazi yake ionekane sio kupondaponda tu, bei zinapanda kila kukicha na bado anahisi ni bora
 
Wapi 1.5trillion za watanzania ?
 
Mwee, anavyoonekana huyo alikuwa bado kuzaliwa.
 
******** alikuwa rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.Hata Mama afanye mabaya kiasi gani kwa miaka yote 10 hayawezi kufika hata robo ya aliyoyafanya ******** wenu kwa miaka mitano.Mungu fundi bna!Alivyokufa tu nchi ikapumua.Hatofufuka leo wala kesho huyo.Asubiri ufufuo wa wafu tu mbele za haki.
 
Hata asipoomba atamfanyaje, sanasana atakuja huku jamii forum kumponda, na ka uzi kanafutwa, anywe panadol tu atulie mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Dah.....Hana cha kumfanya mkuu....Ila Kuna siku atatokea mpuuzi mwingine mwenye akili za kimagufuli.....atawaamsha watu walionjeshwa asali kirahisi sana......na sasa wanachuki kubwa sana wanayojengewa.....damu itamwagika.....si kidogo ...... Siombei hilo🤭
 
Hii simba wa Yuda imetamkwa lini na katika muktadha upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…