Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila zama na kitabu chake bakiza manenoWanaomtetea marehemu magufuri ni mashetani wenzie.
Kwa jinsi alivyokuwa na roho mbaya yaani nashangaa kuona Kuna mtu anamtetea!
Yule basi tu lakini ingekuwa huko jehanum tunawasiliana, basi tungepeleka Kuni Ili aongezewe moto.
Pole sana naona bado una majonzi ya kuondokewa na MecoM
Mama yenu ni mpuuzi tu,juzi hapa katoka kumwambia waziri Bashungwa afukuze wafanyakazi wabadhilifu hapo tamisemi,je hiyo sio kuwatia wafanyakazi hofu na woga?ni mjinga tu anayeweza kuamiani Samia anaweza kufanya taifa kupiga hatua,nchi za China sio wanatmbua tu ukifanya madudu,na kunyongwa unanyongwa tu,maendeleo hayawezi kuja bila kutiana hofu na kuogopa Mali za umma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Meza panadol mkuu hii nchi ni mali ya wana siasa
Mama kaupiga mwingi sana kwa kutoa madhaifu ya utawala wao uliopita na tunasubiria atuambie mengiJambo gani mlitia pressure huku mitandaoni na likaleta matokeo? Kuna jambo kubwa kama ule uchaguzi wa 2020 mkapiga kelele za kutosha humu ila nini kilitokea?
Kama hukuona nidhamu kipindi cha Simba wa yuda basi una matatizo makubwa, tatizo lenu mnaishi nje ya nchi mnapiga tu kelele hata hamuelewi hasa nini kinachoendelea nchini.
Umejibu kianajeshi zaidi mkuu. Ungelegeza maneno kidogo. Ukweli unaumaKwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumo
Hata asipoomba atamfanyaje, sanasana atakuja huku jamii forum kumponda, na ka uzi kanafutwa, anywe panadol tu atulie mkuuKwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumo
NPole sana naona bado una majonzi ya kuondokewa na Meco
Magufuli wala hakuwa mtu wa maana kwakweli
Dah.....kweli kabisa "mtandaoni ni Rais wa hivyo kutokea duniani.....Ila kitaani ni kipenzi Cha watu wengi" - MwanaJF mmoja hivi 🤭
Ama sheikh ubwabwa alipobwabwaja kwamba Magufuli ni zaidi ya mtume.?Uliwahi lalamika wapi kabudi alipomuita Magufuli Mhe. Mungu?
Wapi 1.5trillion za watanzania ?Niambie ni ninchi hipi iliyeweza kuendelea bila kutumia hofu na woga?hao wazungu mnaowamba misaada ukigundulika unakwepa kulipa Kodi tu unafungwa na kufirisiwa,ukikumbwa na ufisadi ndio baraa hata haufahi kuwa mtumishi wa umma,ngoja tuone Samia anayetaka nidhamu ya rohoni utafikiri anaongoza kanisa,mda utaongea tu.
N
Mwee, anavyoonekana huyo alikuwa bado kuzaliwa.Hakuna kiongozi alileta maneno ya mgawanyiko kwa watanzania kama dhalimu vwa chattle, msidhani tumesahau. Umesahau maneno kuwa watu wa mwanza wasivunjiwe nyumba maana ndio wamenipa kura? Umesahau maneno kuwa sileti maendeleo maeneo haya maana mmechagua wapinzani? Au wakati wa lugha zile ulikuwa hujajiunga hapa jf uanzishe uzi?
Sasa Mbowe ameiona fursa.... Magufuli kivuli kinachotisha tusubiri mudaFreeman Mbowe: Mimi, Magufuli na wewe Raila tunafanana kwa mengi!
Dah.....Hana cha kumfanya mkuu....Ila Kuna siku atatokea mpuuzi mwingine mwenye akili za kimagufuli.....atawaamsha watu walionjeshwa asali kirahisi sana......na sasa wanachuki kubwa sana wanayojengewa.....damu itamwagika.....si kidogo ...... Siombei hilo🤭Hata asipoomba atamfanyaje, sanasana atakuja huku jamii forum kumponda, na ka uzi kanafutwa, anywe panadol tu atulie mkuu
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app