SahihiSerekali yote sasa hivi iko mitandaoni, maamuzi yake yanategemea pressure ya mitandaoni. Kelele za uchaguzi ule ndio hizi zinafanya viongozi waliopewa nafasi kwa uchaguzi haramu wanaogopa hata kuitisha mikutano, na wanaofanikiwa wanatumia nguvu kubwa, fedha nyingi nk. Sikuona nidhamu kipindi cha dhalimu, bali niliona sifa za kijinga, kusaka kiki na propaganda mfu. Yote haya tunayaona kwa macho yetu. Usidhani kila mtu alitekwa na zile taarifa na sifa za kupika.
Mabavu au siyo mabavu,my brother just do your job kwa kuzingatia maadili,kuanzia Jumatatu nawatembelea huko kwa office zenu,Kama na waona na visuti vyenu vya kubana Kama vya Konda Boy!![emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1]Hapa point ni kuwa jiwe alikuwa anatumia mabavu tu
aliwaharibia mafisadiYule jamaa alituharibia sana nchi yetu
Sasa kuna mtanzania halisi ambaye atatimiZa wajibu wake bila kushurutishwa?
Wwe Jiwe Kesha kuharibu akili!!Hakuna mtanzania aliyekuwa na imani na jiwe
aliwaharibia mafisadi
alikomoa matajiri mafisadi usijitoe ufahamuKwani yeye aliwahi kuwabana mafisadi au alikuwa anawakomoa matajiri aliokuwa ni visa nao? Hakuwahi kupambana na ufisadi bali matumizi ya neno fisadi. Huwezi kupambana na ufisadi kisha ukawa adui wa vyombo vya habari. Kupora fedha kwenye bureau de change ndio kupambana na mafisadi?
Hivi kuwataka na hata kuwaapisha watendaji wako wakatimize majukumu yao kwa kuzingatia sheria,taratibu na miiko ya kazi zao ni kuwakomoa!?seriously!Kulikuwa na nidhamu ya kazi au nidhamu ya kukomoa watu? Au zile propaganda za kuwa hali imebadilika? Kama hali ilikuwa nzuri asingekuwa adui wa vyombo vya habari, yeye kutaka habari anazozipenda tu ndio ziandikwe tungeajua vipi kweli nidhamu au utendaji umeongezeka?
Kuingia mtaani hakuji ghafla, ni jambo linalochukua muda mrefu baada ya ushahidi wa haya tunayoyaandika huku mitandaoni. Yeye alifanya aliyoyafanya kutokana na nafasi yake, lakini hii mitandao ilikuwa haimpi raha hadi kufikia kutaka malaika washuke waifunge. Hukumbuki ni wati wangapi walitekwa, ama kufungwa kutokana na kumkosoa kupitia mitandao? Kama mitandao ilikuwa haimtesi asingefuatilia. Na kwa taarifa yako kwa dunia hii ya kidigitali, mitandao ni sehemu moja wapo ya pressure ya kupata jambo, labda kama ww ni mzee, hivyo njia ujuayo ya pressure kwa watawala ni kuingia mtaani tu.
alikomoa matajiri mafisadi usijitoe ufahamu
Itoshe tu kusema huyu bibi hatoshi, Mungu mwenye uwezo wa kila kitu aliitambua hulka ya binadamu na ndiomana akaweka adhabu kwa waovu.Isingelikuwa hofu ya jehanam unafikiri kuna binadamu angelitaka hata kujua Mungu ni nani,kwa ajili ya nini!Niambie ni ninchi hipi iliyeweza kuendelea bila kutumia hofu na woga?hao wazungu mnaowamba misaada ukigundulika unakwepa kulipa Kodi tu unafungwa na kufirisiwa,ukikumbwa na ufisadi ndio baraa hata haufahi kuwa mtumishi wa umma,ngoja tuone Samia anayetaka nidhamu ya rohoni utafikiri anaongoza kanisa,mda utaongea tu.
N
Hivi kuwataka na hata kuwaapisha watendaji wako wakatimize majukumu yao kwa kuzingatia sheria,taratibu na miiko ya kazi zao ni kuwakomoa!?seriously!
ulitaka atumie njia zile alizotumia mtangulizi wake ambazo tuliona madhara yake na ndizo anazozipigia chapuo huyu bibi na nyinyi mkimshangilia?
Hakuna mabadiliko utayapata hata ktk ngazi ya familia tu kupitia falsafa na mifumo ileile tena iliyoonyesha udhaifu bro,tusidanganyane.
Inashangaza kuona unatetea vyombo vya habari utafikiri vinaendeshwa na malaika.tumeshuhudia vyombo hivi hivi vikitumika kutoa taarifa za uongo aidha kupitia rushwa au vita vya kisiasa.isitoshe magazeti mengi tu yaliwahi kufungiwa awamu ya 4,ndiomana sheria zikatungwa kwani wavunjaji sheria hawakosekani. Uhuru wa manyani huwezi kuupata kwenye Taifa lolote lililostaarabika.
USA na mataifa mengi tu tulishuhudia yakipitisha sheria kali na hata kufungia baadhi ya mitandao.
mihemuko na vita vya kisiasa ndio vinawafanya mjaribu kuwaaminisha wengine kuwa JPM aliwachukia wapinzani, watendaji wake, wafanyabiashara, matajiri n.k bila kusema ukweli kuwa falsafa na dhamira yake ya kutaka mabadiliko ya kweli ndio iliyodhalisha upinzani wote huu.
Kuagiza wakurugenzi wakanajisi uchaguzi ndio utawala madhubuti? Kumiliki kundi la watu wasiojulikana ndio utawala madhubuti? Mabadiliko ya kweli ni ya mifumo, na sio kulizimisha watu wote kuisujudia ccm na kumsujudia yeye. Au unadhani hatujui kiongozi bora ana sifa zipi? Yule hakupaswa kuwa rais, maana hakuwa na busara anayopaswa kuwa nayo raisi.
Unakumbuka alichokisema JPM akiwashutumu jeshi la polisi siku ambayo Mo aliachiwa na watekaji?Kutekwa akina Mo ndio uongozi madhubuti? Au unadhani hatukuwa tunajua ukweli?
Hebu tuambie katika nchi kama hii yenye watu wa hulka hizi za kibongo,mfumo unaujenga kwa namna ipi iliyo bora?..tuelezee kwa kina tafadhari!!
Imagine! Yaani sijui tulikuwa tunaelekea wapi aisee!'Wewe Mkurugenzi nikulipe mshahara, marupurupu, gari na nyumba halafu umtangaze mpinzani'? Imagine kauli kama hiyo kutoka kwa Rais wa nchi kwenda kwa kamtu kadogo kama kamkurugenzi wa halmashauri! Aiseee?
Unakumbuka alichokisema JPM akiwashutumu jeshi la polisi siku ambayo Mo aliachiwa na watekaji?
Kwanza kabisa maamuzi ya moja kwa moja yatoke kwa wanasiasa. Huu mchezo wa maamuzi kufanywa na wanasiasa ndio kunazaliwa utendaji usio na tija. Kazi za kupeana kwa kujuana. Rais apunguziwe madaraka hasa kwenye teuzi za wakuu wa taasisi za kimamlaka. Check and balance ya Mihimili iwe ya kweli. Sio sasa rais ndio kila kitu.
Kwahiyo yakifanyika hayo uliyoyataja hapo juu,tayari tutakuwa na mfumo imara?
Labda wewe utuambie hapa kuwa kamanaliwatumanwakurugenzi wakaibe kura au wakasimamie utekelezaji wa miradi kwa mujibu wa ilani ili wapate ridhaa ya kuongoza kutoka wananchi!Kuagiza wakurugenzi wakanajisi uchaguzi ndio utawala madhubuti? Kumiliki kundi la watu wasiojulikana ndio utawala madhubuti? Mabadiliko ya kweli ni ya mifumo, na sio kulizimisha watu wote kuisujudia ccm na kumsujudia yeye. Au unadhani hatujui kiongozi bora ana sifa zipi? Yule hakupaswa kuwa rais, maana hakuwa na busara anayopaswa kuwa nayo raisi.
Unauliza au unapigia jibu mstari?