Mnahitaji katiba sio maneno au mchezo wa kuigiza kama aliyowachezea Kikwete.Hayo hayo mazuri ili mradi hayaendi kinyume na mahitaji yetu. Je una lingine kwa msaada zaidi?
Wacha nianze kutafuta ni kapu gani la kukuweka maana kapu A hutoshi wala B hutoshiHuo ni wimbo tu ambao unatamba sasa ila itafika muda utachuja na kutamba wimbo mwengine nao mtauwimba sana tu, nyie mbona hamsumbui akili mnaeleweka tu.
Zitakaaje vizuri na haya maisha yalivyopanda, nyie wenzetu mnakula mema ya nchi hapo upo kwenye kiyoyozi unakula kwa urefu wa kamba yako lazima akili iwe sawa tu.Siamini kama akili zako zimekaa vizuri kichwani.
Zamu kwa zamu,hamia BurundiZitakaaje vizuri na haya maisha yalivyopanda, nyie wenzetu mnakula mema ya nchi hapo upo kwenye kiyoyozi unakula kwa urefu wa kamba yako lazima akili iwe sawa tu.
Hiyo ni imani yenu na mimi siwezi kubishana na imani za watu, kwa sababu hapo huna sababu yeyote ya kukufanya uhusishe kifo chake na corona zaidi ya imani iliyojengwa na chuki zako kwa Jiwe.Corona iliweza sana
Hapana mkuu ushasema zamu kwa zamu, hivyo zamu yetu itafika tu Jiwe kaleta muamko fulani hivi.Zamu kwa zamu,hamia Burundi
Pale jiwe linapogeuka mavumbiiiiHiyo ni imani yenu na mimi siwezi kubishana na imani za watu, kwa sababu hapo huna sababu yeyote ya kukufanya uhusishe kifo chake na corona zaidi ya imani iliyojengwa na chuki zako kwa Jiwe.
Chengine hakuna jambo ambalo Jiwe nilimuona kweli ni mwamba kama msimamo wake kwenye corona, hata waliyompinga walifaidi matunda ya msimamo wa Jiwe kwenye corona.
Corona imemuondoa Maalim seif na ndugu wa Mbowe we ulikuwa hujajua tu kama corona inaweza?
Fanya kazi wacha kulalamika maana hakuna atakaye kuletea fedha nyumbani kwako.Zitakaaje vizuri na haya maisha yalivyopanda, nyie wenzetu mnakula mema ya nchi hapo upo kwenye kiyoyozi unakula kwa urefu wa kamba yako lazima akili iwe sawa tu.
Tena litakuwa vumbi la congo maana dili hilo vumbi.Pale jiwe linapogeuka mavumbiiii
Ili iweje? Watu kama Jiwe wapo ni nafasi tu.Unaonaje ukienda nawe ukajiunge na kundi la walinzi pale burigi?
Ila wewe unataka upige soga humu halafu upewe katiba mpya kurahisi tu.Fanya kazi wacha kulalamika maana hakuna atakaye kuletea fedha nyumbani kwako.
Mnahitaji katiba sio maneno au mchezo wa kuigiza kama aliyowachezea Kikwete.
Ila najua umuhimu wa ninyi kuishi kwa matumaini maana kiuhalisia hakuna lenye kufanikiwa kwa mnayoyataka hivyo matumaini ni muhimu kwenu.
Tukiwaambia kuwa kupata katiba mpya ni muhimu mnatuita majina ya ajabu.