Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mnahitaji katiba sio maneno au mchezo wa kuigiza kama aliyowachezea Kikwete.Hayo hayo mazuri ili mradi hayaendi kinyume na mahitaji yetu. Je una lingine kwa msaada zaidi?
Ila najua umuhimu wa ninyi kuishi kwa matumaini maana kiuhalisia hakuna lenye kufanikiwa kwa mnayoyataka hivyo matumaini ni muhimu kwenu.