Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Hayo hayo mazuri ili mradi hayaendi kinyume na mahitaji yetu. Je una lingine kwa msaada zaidi?
Mnahitaji katiba sio maneno au mchezo wa kuigiza kama aliyowachezea Kikwete.

Ila najua umuhimu wa ninyi kuishi kwa matumaini maana kiuhalisia hakuna lenye kufanikiwa kwa mnayoyataka hivyo matumaini ni muhimu kwenu.
 
Huo ni wimbo tu ambao unatamba sasa ila itafika muda utachuja na kutamba wimbo mwengine nao mtauwimba sana tu, nyie mbona hamsumbui akili mnaeleweka tu.
Wacha nianze kutafuta ni kapu gani la kukuweka maana kapu A hutoshi wala B hutoshi
 
😆😆😆 Rais Samia kasema kweli maana Hali ya mambo ilikuwa hivi 👇

2952362_Q0f.jpg
 
Siamini kama akili zako zimekaa vizuri kichwani.
Zitakaaje vizuri na haya maisha yalivyopanda, nyie wenzetu mnakula mema ya nchi hapo upo kwenye kiyoyozi unakula kwa urefu wa kamba yako lazima akili iwe sawa tu.
 
Corona iliweza sana
Hiyo ni imani yenu na mimi siwezi kubishana na imani za watu, kwa sababu hapo huna sababu yeyote ya kukufanya uhusishe kifo chake na corona zaidi ya imani iliyojengwa na chuki zako kwa Jiwe.

Chengine hakuna jambo ambalo Jiwe nilimuona kweli ni mwamba kama msimamo wake kwenye corona, hata waliyompinga walifaidi matunda ya msimamo wa Jiwe kwenye corona.

Corona imemuondoa Maalim seif na ndugu wa Mbowe we ulikuwa hujajua tu kama corona inaweza?
 
Pale jiwe linapogeuka mavumbiiii
 
Zitakaaje vizuri na haya maisha yalivyopanda, nyie wenzetu mnakula mema ya nchi hapo upo kwenye kiyoyozi unakula kwa urefu wa kamba yako lazima akili iwe sawa tu.
Fanya kazi wacha kulalamika maana hakuna atakaye kuletea fedha nyumbani kwako.
 
Hapana mkuu ushasema zamu kwa zamu, hivyo zamu yetu itafika tu Jiwe kaleta muamko fulani hivi.
Unaonaje ukienda nawe ukajiunge na kundi la walinzi pale burigi?
 
Mnahitaji katiba sio maneno au mchezo wa kuigiza kama aliyowachezea Kikwete.

Ila najua umuhimu wa ninyi kuishi kwa matumaini maana kiuhalisia hakuna lenye kufanikiwa kwa mnayoyataka hivyo matumaini ni muhimu kwenu.

Uko sahihi, je una lingine?
 
Katiba mpya inampangia mgombea running mate? Katiba mpya sio panacea!
Isome katiba kwanza kwenye jinsi ya kumpata rais wa nchi na endapo rais atafariki au kushindwa kuendelea na nafasi yake.
 
Back
Top Bottom