Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Ujanja sio kufunga mitandao bali ni kuongeza kodi na tozo ili kila usemalo ni lazima ulilipie kodi/tozo. Huu ndio ujanja wa Rais wetu Mama Samia.

Maana kama unashinda mitandaoni na una pesa ya kula, maana yake una pesa. Hivyo ujanja si kukufungia bali kugawana hiyo pesa uliyo nayo. Na kwa kweli tunatoa mpaka kodi ya mwezi wa 3 imefikia 2.06 trillion, si haba!
 
Huyo simba alikuwa mkali sana Spika wa bunge alimkanya mkia tu akararuliwa kabla hajagusha hata hayo masharibu. Sasa hivi anaogopa hata kutoka nje.
 
Umenena ukweli mtupu
 
Hivi Sabaya au Makonda aliyetumia Magari ya thamani kubwa walikuwa na nidhamu gani wakati wa Magufuli ?
 
Hivi Sabaya au Makonda aliyetumia Magari ya thamani kubwa walikuwa na nidhamu gani wakati wa Magufuli ?
Kwahio unapinganna na Rais mama yetu anaesema nidhamu ilikuwepo, Ila ilikua ya woga?!!

Hao ume single out watu watukutu, tunapo assess jambo tuna namna za kufanya sampling.

Oh!? Naomba niishie hapa huku ninakoelekea huenda nikawa napoteza muda, wabongo tulio wengi elimu zetu ni zileeee na ung'amuzi wa Mambo ni uleeee!!
 
Yapi hayo kwa mfano?
Braza, ni mengi tu nenda hatua moja mbele yako waulize watu, mimi sioni ubaya wa yule mtu tena ni mtu wa kujifunzia mimi ,watoto wangu na watu wote hapa mtaani na tuna mpango wa kujenja sanamu yake ishara ya kuheshimu mchango wa maisha yake kwetu, tunampenda sana labda kwako binafsi.
 
Pumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…