Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ujanja sio kufunga mitandao bali ni kuongeza kodi na tozo ili kila usemalo ni lazima ulilipie kodi/tozo. Huu ndio ujanja wa Rais wetu Mama Samia.Samia anapitia na kisha anakuja kuwajibu nyodo na yale mnayomkosoa yanabaki vilevile habadili chochote, sasa hapo utasema kuna pressure?
Magufuli aliona hamfanyi kazi kutwa kubwabwaja tu mitandaoni ndio maana akatamani ifungwe, mlipiga sana kelele kuhusu Makonda hadi mkachoka ila Jiwe hamkumpa pressure yeyote hadi mwenyewe huko alipomchoka kipindi nyie mshanyoosha mikono.
Huo ndio ukweli.
Maana kama unashinda mitandaoni na una pesa ya kula, maana yake una pesa. Hivyo ujanja si kukufungia bali kugawana hiyo pesa uliyo nayo. Na kwa kweli tunatoa mpaka kodi ya mwezi wa 3 imefikia 2.06 trillion, si haba!