Baki na MAVI yako nyumbaniNimeamini usemi huu "kufa kufaana"
Samia kaamua kuwa mwimbaji wa taarabu [emoji23]
Kufa uzomewe. Ishi upigiwe makofi na uimbiwe mapambio mpaka BungeniOndoka usemwe.
Mkuu mbona unaonokana una chuki kuu na bwana yule?Hakuna mtanzania anampenda yule mtu katili
Kama ilikuwa na effect nzuri ya mambo kwenda basi jamaa alifanikiwa....wabongo bila vitisho hawaendi.Ukweli ni kwamba watumishi wengi walifanya vitu kwa kuogopa kufukuzwa kazi na si kwa nidhamu.
Nawaza tu Mtume M angetajwa kuhusiana na huo mfano nadhani mtaani pangeshachafuka mno na wafia dini flani, hakika wakristo ni wastaarabu sana.yule alikuwa simba wa Burigi, sio wa Yuda. Aache kumtaja kizembe Bwana wetu Yesu Kristo Aliye ni Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.
JESUS IS LORD
Mama akituambia yeye na mwendazake ni jora moja, sasa leo mbona kunatokea haya? au Ni kinyume chake???Hali yetu ndani ya civil service si nzuri sana, tunasifiwa kwamba adjustments tulizofanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima, lakini heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwasababu kulikuwa na Simba wa Yuda ambaye ukimgusa sharubu anakurarua hata hivyo haikukua vizuri, ” Rais Samia
View attachment 2172747
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
watu walijengwa kwenye nidhamu ya woga, unafiki mwingi. Wanadamu timamu hatutakiwi kuishi hivyo. Maza katoa fact sio suala la ku out smartNafikiri kinachofanyika sasa ni ku out smart uongozi uliopita. Kama magu alimfanyia kikwete ni kukandia madhaifu tuu ili wewe uonekane unabadili muelekeo
Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?Ukweli ni kwamba watumishi wengi walifanya vitu kwa kuogopa kufukuzwa kazi na si kwa nidhamu.
Kama ilikuwa inaketa tija safi sana!watu walijengwa kwenye nidhamu ya woga, unafiki mwingi. Wanadamu timamu hatutakiwi kuishi hivyo. Maza katoa fact sio suala la ku out smart
YESU NI MWOKOZI
Shika Adabu yako. Uwe na heshima .Huyu mama anataka uwachekee watumishi wa umma.
Heshima ya moyoni hiyo haipewe serikalini, hiyo inatolewa nyumbani.
Huyu mama ni kimeo.
Sio nidhamu ni woga, hivyo mtu anafanya kitu hata ambacho kisheria hakikupaswa ili kumfurahisha Mh Rais. Hiyo hautakiwi. Nidhamu ya woga.Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?
Muheshimiwa,kufukuzwa kazi ni sehemu ndogo sana katika utumishi iwezayo kumtokea mfanyakazi.Hatupaswi kuwajenga watumishi kwa fikra za kufukuzwafukuzwa.Bali,wajengewe matumaini ya kudumu,kustawi na kuufurahia utumishi.Kufukuzwa iwe ni kama ajali tu.Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?
Awamu ya tano waliteseka watu wengi sana🤣🤣View attachment 2172780
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
View attachment 2172747
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Sasa kama mtu hapewi discpline atajifunzaje? Kwahio mule rushwa mdharau wateja hio kwenu ndio upendo au sio yani mjifanyie mnavyotaka mkiwa kazini muda wa kazi mpige soga wateja kitu cha kukamilika siku moja kichukue week sababu boss ana mambo yake hayupo ofisini mda wa kazi?Muheshimiwa,kufukuzwa kazi ni sehemu ndogo sana katika utumishi iwezayo kumtokea mfanyakazi.Hatupaswi kuwajenga watumishi kwa fikra za kufukuzwafukuzwa.Bali,wajengewe matumaini ya kudumu,kustawi na kuufurahia utumishi.Kufukuzwa iwe ni kama ajali tu.
watu walijengwa kwenye nidhamu ya woga, unafiki mwingi. Wanadamu timamu hatutakiwi kuishi hivyo. Maza katoa fact sio suala la ku out smart
YESU NI MWOKOZI