... mbona kwa mwaka mmoja tu madarakani ameshamzidi jamaa aliyetawala 5+ yrs? Ubabe haujawahi kuwa mojawapo ya sifa za kiongozi bora.Nakwambia huyu bibi anaropokaga tu, yuko hapo ili amfunike Magufuli aonekane yeye ni bora lakini muda ni mwalimu mzuri.
Kuna mambo unachanganya.Wanasiasa,watumwa na watumishi.Mtumishi ni mtu unayetegemea akupe tija.Siyo mtumwa wako yule.Unapaswa kuenda naye kwa hekima,busara na akili.Unapo-refer Afrika,huko ni kujidharau kwako na kuonesha kwamba haupendi na hautaki kutoka kwenye boksi.Mentalities za kutawaliwa na mzungu.Mjenge mfanyakazi akupe tija.Siyo kumtisha.Mara ntakufukuza,mara ntakutumbua.Ni ujinga ambao hauleti tija.
... ibada haijawahi kukamilika bila kukitaja kile kiumbe.Kwani watu hawawezi kufanya kazi bila kumtaja Ngosha!
heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
... uko sahihi. Kuna wajinga wanalazimisha bango aliloacha Magufuli lisomwe upande mmoja tu; hawataki kabisa upande wa pili wa bango lake uonekane. That's very wrong!Ndugu,
1. Waliokufa huwa wamekufa na kuzikwa chini ya ardhi na kugeuka udongo/mavumbi.
Hawaendi huko kupumzika !!
2. Kinachojadiliwa hapa ni matokeo au alama (footprints) alizoziacha mtu aliyekwisha kufa. Kwa hapa ni kesi ya Magufuli
Kwa hiyo hata ulie na kumwaga ndoo nzima ya machozi ili Magufuli aachwe kwa kile unachoita "kupumzika", hiyo haiwezi kufuta footprints zake mbaya au nzuri
KUKUSAIDIA WEWE, FANYA HIVI;
✓Ukiona mtu wako aliyekwisha kufa anasemwa kwa mabaya, na ikakuuma; basi wewe mseme kwa mazuri yake.
✓Mizani ikiegemea upande wa mazuri, utashinda na utakuwa na furaha.
✓Lakini ukishindwa kuii namisha mizani upande wako, basi jua kuwa umeshindwa wewe na mtu wako.
✓ All you have to do is to accept and take responsibilities!!
... taifa linapigana kujiponya na nini?Kabisa mpaka nimeanza kuogopa.
Kipindi kile kulitokea tetesi Samia alitaka kujiuzulu makamu wa rais nimeanza kuamini.
waliopo karibu na Samia wamshauri.
Magufuli bado ana wafuasi wake watiifu haileti picha nzuri katika taifa linalopigana KUJIPONYA.
... taifa linapigana kujiponya na nini?
... alichofanya Rais ni sehemu ya dozi; tuache kuficha ukweli jamaa alikuwa katili. Ukweli utatuweka huru; Samia amesema sehemu ya ukweli uliofichwa.Wakati magufuli anatoa maumivu na vilio kwa watu ulikuwa haupo?
... alichofanya Rais ni sehemu ya dozi; tuache kuficha ukweli jamaa alikuwa katili. Ukweli utatuweka huru; Samia amesema sehemu ya ukweli uliofichwa.
Najaribu kuwaza tu hivi polisi aliyeogopa rushwa wakati wa Magufuli akisikia hiyo kauli ya Samia atachukua hatua gani? Na daktari aliyetibu bila rushwa wakati ule ataanza tabia gani akimsikia Samia?Huyu ni ndumilakuwili,mbona aku step down
Tuseme tu ukweli umejaribu kwenda kwenye taasisi za serikali ukaona huduma zao zikoje ukifananisha na simba wa chato huduma ilikuaje.
... amekuua?DOZI kuua wenzio?
Juzi ametoa bei elekezi ya bidhaa, leo anaturidisha kwenye kutokujali na utovu wa huduma sekta ya umma.Huyu mama anataka uwachekee watumishi wa umma.
Heshima ya moyoni hiyo haipewe serikalini, hiyo inatolewa nyumbani.
Huyu mama ni kimeo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Mimi na hayati Magufuli ni kitu kimoja" alisikika akisema hivyo Chief