Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Rais anakosea sana kuponda mazuri ambayo alipaswa kuyaenzi
 
Sahihi kabisa
Kabisa mpaka nimeanza kuogopa.
Kipindi kile kulitokea tetesi Samia alitaka kujiuzulu makamu wa rais nimeanza kuamini.
waliopo karibu na Samia wamshauri.
Magufuli bado ana wafuasi wake watiifu haileti picha nzuri katika taifa linalopigana KUJIPONYA.
 
naona awamu ya 6 watu wananidhamu hadi kutaka uIGP kibabe...
 
Hata yeye alikuwa anamuogopa sana tu.ukweli Mama hajiamini bado kama ni Rais.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,una hasira kama unaumwa nonda.Itoshe kukueleza nimekuchoka.
 
Nadhani nimeeleweka vizuri.
Kwani huwa hazipitiwi kabla ya kuwasilishwa, maana Simba wa burigi tulikuwa tunajua anaongea bila kusoma sehemu nyingine '' Anapuyanga vibaya sana'
Sasa sijui kuhusu chief.
 
Bora nidhamu ya uoga na utendaji usiokatakata umeme kipumbavu,hii kuwakosea watanzania adaabu
 
Wakati magufuli anatoa maumivu na vilio kwa watu ulikuwa haupo?
Je hapa umejibu swali? Ni vizuri ukajibu swali lililoulizwa kuliko kuharibu mantiki ya swali na mada.

Nami pia namsaidia kuuliza, Je taifa linajiponya kutokana na nini?
 
Nadhani nimeeleweka vizuri.
Kwani huwa hazipitiwi kabla ya kuwasilishwa, maana Simba wa burigi tulikuwa tunajua anaongea bila kusoma sehemu nyingine '' Anapuyanga vibaya sana'
Sasa sijui kuhusu chief.
Anaandikiwa na mzee wa Msoga




Ova[emoji41]
 


Ukweli unauma lakini Rais ni bora anakuwa mkweli. Cha kushangaza bado kuna watu wanataka Raisi naye asiwe mkweli na kuaminisha watu uongo maana siku hizi Watanzania wengine wanapenda uongo kuliko ukweli. Nakushukuru Raisi kwa kuwa mwazi. Wafanyakazi wa Serikali wanatakiwa kutengeneza heshima ya kazi sio kumuogopa Raisi bali utamaduni wa kazi, heshima, kufuata sheria na kutopenda rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…