Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Haa haa just haa haa 😀😄😁Huyo mama kayasema wapi hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa just haa haa 😀😄😁Huyo mama kayasema wapi hayo?
Aliumiza wengi sanaAisee! Hivi Magufuli hkupendwa na wengi hata wa karibu yake! Mama anaendelea kumchapa tu
Ishu ni weledi mzee, kabla ya hapo mbona nchi iliendelea sana tu? Ajira, mishahara nkKati ya kufanyA hivyo Kwa uoga au kutofanya Kazi kabisa wewe unaona kipi Bora?
... amekuua?
Kabisa mpaka nimeanza kuogopa.
Kipindi kile kulitokea tetesi Samia alitaka kujiuzulu makamu wa rais nimeanza kuamini.
waliopo karibu na Samia wamshauri.
Magufuli bado ana wafuasi wake watiifu haileti picha nzuri katika taifa linalopigana KUJIPONYA.
Hata yeye alikuwa anamuogopa sana tu.ukweli Mama hajiamini bado kama ni Rais.Kwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.
Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!
Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
Mkuu,una hasira kama unaumwa nonda.Itoshe kukueleza nimekuchoka.Ndio maana nimekuambia uache kujitoa akili, wewe aidha hujui unachoongea ama unaleta ujuaji tu.
Ivi unafahamu kasumba za watumishi kabla ya Magu.
Hii ichi ili hitaji mtu mkali iliafanye adjustiment za nidhamu kwa watumishi, hali ikikuwa mbaya.
Africa tunatakiwa kuwa na style yetu ya kuongozana kulingana na mazingirayetu.
Watu hawafanyi kazi kwa bidii wanapenda mishahara kuliko kile kinacho wafanya wapate hiyo mishahara.
Kifupi hawaheshimu kazizao.
Kama hujatembea nje ya bara hili ndio hutaelewa ninacho maanisha kuhusu nidhamu za kazi.
Hujajibu swali ..Mimi sijaulizia mishahara Wala ajiraIshu ni weledi mzee, kabla ya hapo mbona nchi iliendelea sana tu? Ajira, mishahara nk
Je hapa umejibu swali? Ni vizuri ukajibu swali lililoulizwa kuliko kuharibu mantiki ya swali na mada.Wakati magufuli anatoa maumivu na vilio kwa watu ulikuwa haupo?
Anaandikiwa na mzee wa MsogaNadhani nimeeleweka vizuri.
Kwani huwa hazipitiwi kabla ya kuwasilishwa, maana Simba wa burigi tulikuwa tunajua anaongea bila kusoma sehemu nyingine '' Anapuyanga vibaya sana'
Sasa sijui kuhusu chief.
Kwani hapa chief kakosea nini au kuusema ukweli limekuwa kosa siku hizi?Nadhani nimeeleweka vizuri.
Kwani huwa hazipitiwi kabla ya kuwasilishwa, maana Simba wa burigi tulikuwa tunajua anaongea bila kusoma sehemu nyingine '' Anapuyanga vibaya sana'
Sasa sijui kuhusu chief.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.