Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yesu au Yesu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari fire
Ila kwa sisi wakristo simba wa yuda ni yesu, na Wala hajawahi kumrarua mtu. Labda Simba wa chato
Nimemdharau sana Bi tozo.... naendelea kuamini Jiwe alipumzishwa. Mtoa roho atakuwa Jana..B ( ukienda pale Jakaya analindwa kama diplomat fulani hivi siku hizi) na ofisi kabadilishiwa kapandishwa gholofani.... kwa chuki aliyokuwa nayo msoga naamini alimaster mind.... Tatizo bi tozo hana kauli kwa msoga maana alikuwa chakula ya Msoga muda mrefu kwa hiyo hata kauli zake zina reflect mawazo ya msoga. Huwezi kutoa kauli kama hizo hadharani kwa mtu aliyekuwa bosi wako tena kwa position ya Rais na kifo chake ndio kimekubeba.
Bi tozo kesha anza kujiamnisha 2025 anaendelea kisa team msoga imekamilika... ukweli ni kwamba anahali ngumu sana 2025 labda abulakadabula za ccm zimbebe.
Kwahiyo kama mjinga akifanya kitu cha kijinga halafu mwelevu akamuiga nani atalaumiwa. Lugola watu tulimuona ni moja Kati ya vijana wajinga walioitetea posho ya mfalme Nebukadneza ili waishi sasa yeye anatetea nini hadi kumuigamjinga?Mkuu hilo la kumlinganisha jiwe na yesu lilianzia kwa Lugola
Sifa ndiyo moja ya matumizi ya hovyo ndani ya ccmKwahiyo kama mjinga akifanya kitu cha kijinga halafu mwelevu akamuiga nani atalaumiwa. Lugola watu tulimuona ni moja Kati ya vijana wajinga walioitetea posho ya mfalme Nebukadneza ili waishi sasa yeye anatetea nini hadi kumuigamjinga?
Jiwe alituharibia nchi yetu utadhani hakuwa mtanzania.Huyo mama amesema ukweli, kipindi cha utawala uliopita kulikuwa na utawala wa vitisho na mabavu wala hakukuwa na nidhamu ya dhati. Huo ni ukweli unaojulikana bila hata huyo mama kusema. Hiyo 2025 angekuwa na hofu iwapo box la kura lingekuwa linaheshimiwa. Magufuli ndio aliyepandikiza kutokuheshimu box la kura, hivyo hata hawa wengine hawataliheshumu na hawatapata ugumu wowote maana hawategemei kura kukaa madarakani.
Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?
Ni kweli unafikiri kama sio kuogopa moto nitaanzaje kujinyima kufanya starehe nitavyo hapa duniani au kufanya ibada na kuacha kufanya mambo mengine.
Wale kwa urefu wa kamba zao(wapige ila sio sana)Hebu mtumishi wa umma ajiachie aone moto!!
Rais hajasema wasiwe na nidhamu, amekazia wawe na nidhamu tena ile ya moyoni ndio chanya zaidi.Nidhamu ya woga mbaya naweza kufanya kwa savabu uko mbele yangu, ukinipa kisogo napuyanga.
Mama yetu mhe Rais kazi iendelee.
Ila kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi