Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Nimemdharau sana Bi tozo.... naendelea kuamini Jiwe alipumzishwa. Mtoa roho atakuwa Jana..B ( ukienda pale Jakaya analindwa kama diplomat fulani hivi siku hizi) na ofisi kabadilishiwa kapandishwa gholofani.... kwa chuki aliyokuwa nayo msoga naamini alimaster mind.... Tatizo bi tozo hana kauli kwa msoga maana alikuwa chakula ya Msoga muda mrefu kwa hiyo hata kauli zake zina reflect mawazo ya msoga. Huwezi kutoa kauli kama hizo hadharani kwa mtu aliyekuwa bosi wako tena kwa position ya Rais na kifo chake ndio kimekubeba.

Bi tozo kesha anza kujiamnisha 2025 anaendelea kisa team msoga imekamilika... ukweli ni kwamba anahali ngumu sana 2025 labda abulakadabula za ccm zimbebe.

Huyo mama amesema ukweli, kipindi cha utawala uliopita kulikuwa na utawala wa vitisho na mabavu wala hakukuwa na nidhamu ya dhati. Huo ni ukweli unaojulikana bila hata huyo mama kusema. Hiyo 2025 angekuwa na hofu iwapo box la kura lingekuwa linaheshimiwa. Magufuli ndio aliyepandikiza kutokuheshimu box la kura, hivyo hata hawa wengine hawataliheshumu na hawatapata ugumu wowote maana hawategemei kura kukaa madarakani.
 
Mkuu hilo la kumlinganisha jiwe na yesu lilianzia kwa Lugola
Kwahiyo kama mjinga akifanya kitu cha kijinga halafu mwelevu akamuiga nani atalaumiwa. Lugola watu tulimuona ni moja Kati ya vijana wajinga walioitetea posho ya mfalme Nebukadneza ili waishi sasa yeye anatetea nini hadi kumuigamjinga?
 
Kwahiyo kama mjinga akifanya kitu cha kijinga halafu mwelevu akamuiga nani atalaumiwa. Lugola watu tulimuona ni moja Kati ya vijana wajinga walioitetea posho ya mfalme Nebukadneza ili waishi sasa yeye anatetea nini hadi kumuigamjinga?
Sifa ndiyo moja ya matumizi ya hovyo ndani ya ccm
 
Huyo mama amesema ukweli, kipindi cha utawala uliopita kulikuwa na utawala wa vitisho na mabavu wala hakukuwa na nidhamu ya dhati. Huo ni ukweli unaojulikana bila hata huyo mama kusema. Hiyo 2025 angekuwa na hofu iwapo box la kura lingekuwa linaheshimiwa. Magufuli ndio aliyepandikiza kutokuheshimu box la kura, hivyo hata hawa wengine hawataliheshumu na hawatapata ugumu wowote maana hawategemei kura kukaa madarakani.
Jiwe alituharibia nchi yetu utadhani hakuwa mtanzania.
 
Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?

Shida sio kuogopa, unaogopa kufukuzwa kazi kwa kufuata amri ya rais hata kama inavunja Sheria, hapo ndio tatizo. Tuliona viongozi wakitakiwa kuvunja sheria kwa kufuata utashi wa rais hata kama watu wanakomolewa. Nyumba za watu zilivunjwa kinyume na amri ya mahakama, huko mahakamani watu walifungwa kwa ushahidi wa kubumba, wakurugenzi waligoma kuwaapisha wagombea wa upinzani kisa wanaogopa kufukuzwa kazi. Polisi walibambikia watu kesi ili kumfurahisha rais. Huyo mama anajua anachokisema japo mantiki yake inataka kupotoshwa.

Wote tuliona vyombo vya kimamlaka vilichofanya kwenye chaguzi mbalimbali, hasa uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu. Je zile zilikuwa ni nidhamu za dhati? Ukweli huu unafahamika, lakini watu wanataka uke utawala wa kiouvu usisemwe, na ukweli huo sio huyo mama tu, wengi wetu tunaujua.
 
Ni kweli unafikiri kama sio kuogopa moto nitaanzaje kujinyima kufanya starehe nitavyo hapa duniani au kufanya ibada na kuacha kufanya mambo mengine.

Acha upotoshaji wa kijinga, hakuna popote watu wanakatazwa kufanya starehe hapa duniani, bali watu wanakatazwa kutenda dhambi, na kufanya starehe sio dhambi.

Unakuta kipindi cha Magu watu walikuwa wanatumia madaraka yao kukomoa watu na mifano ipo wazi, kuna watu waliagizwa wakapore pesa za watu kwenye mabureau De change, watu waliagizwa kupora fedha za watu kwenye mabenki, wakurugenzi walikuwa wanaagizwa kupindisha sheria za uchaguzi, mahakamani watu walifungwa ili kumfurahisha Magufuli. Je utii wa kufanya uhalifu ndio utii sahihi? Tulisikia maneno kuwa watu wa mwanza wasivunjiwe nyumba maana ndio waliompa kura, ila sehemu nyingine wavunjiwe. Je wale waliotii kuvunja nyumba za watu kinyume na amri ya mahakama walikuwa na utii sahihi?
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.

Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k

Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.

Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
 
Hebu mtumishi wa umma ajiachie aone moto!!
Rais hajasema wasiwe na nidhamu, amekazia wawe na nidhamu tena ile ya moyoni ndio chanya zaidi.Nidhamu ya woga mbaya naweza kufanya kwa savabu uko mbele yangu, ukinipa kisogo napuyanga.
Mama yetu mhe Rais kazi iendelee.
Wale kwa urefu wa kamba zao(wapige ila sio sana)

Wawe na nidhamu ya moyoni(sio ya matendo)
 
Magufuli alitamani watu wake wawe wazalendo, na alitumia nguvu pale alipoona kuna wakaidi...

Sasa kuwa mzalendo sijui ndio hiyo inayotamkwa kama "heshima ya uoga" ama!!
 
Back
Top Bottom