Magufuli alichukua Wasukuma wenzake na kuwajaza kila sehemu, sasa ni zamu ya Wazenji kujazwa kila mahali
Mtu mzima kuwa mropokaji haipendezi! Wasukuma kwa idadi tu ni zaidi ya Wazanzbar wote sasa compare kwenye suala la ajira alilo semea Misile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alichukua Wasukuma wenzake na kuwajaza kila sehemu, sasa ni zamu ya Wazenji kujazwa kila mahali
Hizo ajira wenyewe zipo?View attachment 2015004
Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira
Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira
Hongera mama, Charity begibs at home.
Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?
Hebu tazama
1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni
2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI
3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar
4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar
5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ
Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
Serikali ya Tanganyika haipo na haitokuja 🤣🤣Asilimia 21 ni kubwa sana, ilitakiwa wapewe asilimia moja au 0.95, huu ni wakati wa watanganyika kuamka na kudai serikali ya Tanganyika kama ilivyo serikali ya zanzibar, ratio ilitakiwa igawiwe kutokana na idadi ya watu
Usije tu ukavunjika wewe uti wa mgongo 🤣🤣Uvunjwe haraka sn
Muungano wetu ni wa kipekee, huyo mtoto msimulie kwa kumwambia kuwa "huu ni wa kipekee"Huu muungano hauna maisha marefu, muungano una mambo mengi ambayo hata ukimusimulia mtoto wa darasa la kwanza atashindwa kuelewa kwanini hivi. kuna siku kitanuka
Keanu Kwenu tumewachokaUsije tu ukavunjika wewe uti wa mgongo 🤣🤣
Siempre JMT
Muungano wetu ni wa kipekee.Halafu cha ajabu, ikitangazwa kazi inayohusu mambo yasiyo ya muungano, bado wazenji wanaapply na hawawekwi pembeni sababu ya uzanzibar wao, Wanakuwa treated sawa na vijana wa Tanganyika.
Wapo watendaji wa serikali za Mitaa huku bara ni Wazanzibar, japo TAMISEMI siyo jambo la muungano!
Hwenda ukawa umehamia babati miaka ya karibuni kuliko mababu zangu waliofika Tanganyika karne ya 1 🤣🤣Keanu Kwenu tumewachoka
Hapo umesemaMagufuli alichukua Wasukuma wenzake na kuwajaza kila sehemu, sasa ni zamu ya Wazenji kujazwa kila mahali
Wazanzibari hawana shida, Ila shida ni viongozi wao wa siasa ambao hawajui hatima yao baada ya kuungana kuwa na serikali mojaHata hiyo ni nzuri kama Wazanzibari wenyewe wataafiki