Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejivurugu MwenyeweUsituvuruge
Umejivurugu MwenyeweUsituvuruge
Rais wetu Mpendwa ni Mwana Michezo .Ndio Maana jumuiya ya wanamichezo wote wanamuunga mkono na kumkubali sana Rais Samia.Sina kumbukumbu, mwenye nazo anisaidie kunikumbusha
Kwamba imeshawahi kutokea Rais wa Nchi kuzipongeza timu za Mpira wa Miguu zisizo Simba & Yanga kwenye Ligi Kuu?
Nafikiri hili ni tukio la kwanza, labda Kwa kuwa 2025 ni Uchaguzi Mkuu tunahitaji Kura zote kupitia Sekta ya Michezo
Hongereni Azam FC 👏👏
Azam FC 1 Yanga 0 FT
Vizuri, tukutane viwanjaniRais wetu Mpendwa ni Mwana Michezo .Ndio Maana jumuiya ya wanamichezo wote wanamuunga mkono na kumkubali sana Rais Samia.