Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

Mama mechi za ligi zinakuhusu nini jamani? Wewe si upo kimataifa tu hadi una goli lako huko?

Au ndio unabalance mzani kwa Makolo wanavyolia huwa unatupendelea Yanga?
Timu alizotaja ni Azam na vyura waliobikiriwa. Simba hausiki.
 
Imagine mtu anabikiriwa hadi Mama anapongeza 😂😂😂 ila Sillah!
 
Sillah Amefanya mapema mno walah, angengojea hata asumbuliwe kidogo 45’ ziishe, Asa 33’ dk zimetosha kumalizana nae, kwani alikuwa na lubricant !??

Njooni mtoe mapovu hapa sasa wanangu wa yanga... 😂😂😂
 
Mama mechi za ligi zinakuhusu nini jamani? Wewe si upo kimataifa tu hadi una goli lako huko?

Au ndio unabalance mzani kwa Makolo wanavyolia huwa unatupendelea Yanga?
IMG_4166.jpeg
 
Back
Top Bottom