Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

Sina kumbukumbu, mwenye nazo anisaidie kunikumbusha

Kwamba imeshawahi kutokea Rais wa Nchi kuzipongeza timu za Mpira wa Miguu zisizo Simba & Yanga kwenye Ligi Kuu?

Nafikiri hili ni tukio la kwanza, labda Kwa kuwa 2025 ni Uchaguzi Mkuu tunahitaji Kura zote kupitia Sekta ya Michezo

Hongereni Azam FC πŸ‘πŸ‘

Azam FC 1 Yanga 0 FT
 
Rais wetu Mpendwa ni Mwana Michezo .Ndio Maana jumuiya ya wanamichezo wote wanamuunga mkono na kumkubali sana Rais Samia.
 
Naungana na Mama kuwopongeza Azam. Hivi Hersi akiamua kudai chake kwa ambaye hajafikisha itakuwa ni mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…