Rais Samia awapongeza Yanga Sc baada ya kuifunga CR Belouizdad bao 4

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Rais was Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vizuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kuifunga CR Belouizdad bao nne kwa sifuri na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali, akisema mafanikio hayo yameandika historia kubwa kwa klabu na sekta ya michezo Nchini

Rais Samia amenukuliwa akisema β€œYanga mmeleta furaha kwa mamilioni ya Mashabiki wenu na Watanzania kwa ujumla”

 
Ila mama angenunua zile goli kila moja angalau 50m, si kwa raha walizotupa Young Africans SC.
 
Mama kasema Yanga imeleta Furaha kwa watanzania kwa ujmla wewe ..Na Degree yako ya SAUT unakuja unakenua eti Yanga inabebwa mara Yanga Team ya kawaida, Mara washabiki washakata Tamaa
 
Rais wa JMT mh Dr Samia ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Klabu bingwa Africa huku ikiwa na mechi Moja mkononi

Rais amesema mafanikio ya Yanga yameandika historia Kubwa kwa Klabu na Sekta ya Michezo nchini

Nawatakia Dominica Njema πŸ˜€
 
Yeye yanga inamuhusu nini atuambie yake umeme na sukari tunatokaje hapa
Huko yanga watu wamepambana sehemu yao mpaka kufika hapo yeye apambane na yake
Yeye anafikiria mambo yanajipa tu yenyewe!!
 
Yeye yanga inamuhusu nini atuambie yake umeme na sukari tunatokaje hapa
Huko yanga watu wamepambana sehemu yao mpaka kufika hapo yeye apambane na yake
Yeye anafikiria mambo yanajipa tu yenyewe!!
Yanga ilipigania Uhuru
 
Samia bwana.sasa hapo cha ajabu kipi?
Wakati mnyama hyo nafasi kwake ni kama anakwenda kariakoo?
 

Sawa na yeye ajifunze kuwa mafanikio huja kwa kuweka malengo na kuyatekeleza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…