Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Mkuu kumbe unajua umuhimu wa kuikosoa serikali ili ijirekebishe? Vipi wakati wa magufuli mbona ulikuwa unawashambulia wenye mawazo mbadala?Daah.
Naomba nisieleweke hivyo.
Nachangia yale nayokutana nayo huku mtaani.
Pia yanaisaidia serikali kujisahihisha.