Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Feb 25, 2024 #21 Stroke said: Daah. Naomba nisieleweke hivyo. Nachangia yale nayokutana nayo huku mtaani. Pia yanaisaidia serikali kujisahihisha. Click to expand... Mkuu kumbe unajua umuhimu wa kuikosoa serikali ili ijirekebishe? Vipi wakati wa magufuli mbona ulikuwa unawashambulia wenye mawazo mbadala?
Stroke said: Daah. Naomba nisieleweke hivyo. Nachangia yale nayokutana nayo huku mtaani. Pia yanaisaidia serikali kujisahihisha. Click to expand... Mkuu kumbe unajua umuhimu wa kuikosoa serikali ili ijirekebishe? Vipi wakati wa magufuli mbona ulikuwa unawashambulia wenye mawazo mbadala?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Feb 25, 2024 #22 Hiki ndio anacho weza mnoo. Sukari NO Umeme NO Na kuteua na kutengua TU
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Feb 25, 2024 #23 Mnachihanguuu said: Mkuu kumbe unajua umuhimu wa kuikosoa serikali ili ijirekebishe? Vipi wakati wa magufuli mbona ulikuwa unawashambulia wenye mawazo mbadala? Click to expand... Asilimia kubwa ndio wezi waliopo sasa.
Mnachihanguuu said: Mkuu kumbe unajua umuhimu wa kuikosoa serikali ili ijirekebishe? Vipi wakati wa magufuli mbona ulikuwa unawashambulia wenye mawazo mbadala? Click to expand... Asilimia kubwa ndio wezi waliopo sasa.
Changchun yatai JF-Expert Member Joined Mar 18, 2023 Posts 410 Reaction score 1,050 Feb 26, 2024 #24 Atafute watu wenye uwezo kama engineer hersi awape teuzi.
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Feb 26, 2024 #25 Stroke said: Asilimia kubwa ndio wezi waliopo sasa. Click to expand... Wezi wakina nani?
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Feb 26, 2024 #26 Salary Slip said: Sawa Mama, ila sukari haishikiki. Click to expand... Huku kwetu sukari ni 2800 tu. Sasa ikiwa hata 2800 inakushinda nibora urudi kijijini kwenu akaline asali.
Salary Slip said: Sawa Mama, ila sukari haishikiki. Click to expand... Huku kwetu sukari ni 2800 tu. Sasa ikiwa hata 2800 inakushinda nibora urudi kijijini kwenu akaline asali.