Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mange alibeba Bango naaona karirudisha chap ...sijuwi liliandikwa vitu gani.....Ulinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe, asisogelewe sana na raia wa kawaida.