Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?

Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Miezi 6 hii mama amesema ataongea kwa matendo makali, miezi 6 ijayo itakuwa ni matendo makali na maneno makali vuta subira

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Sema mama nilikua mshabiki wake mwanzo, hata ukimwangalia afananani na yale yanatokea nyumbani, kitendo Cha KESI ya mh Mbowe, niseme ni kitu kimemuaribia Sana, kushindwa kutana na viongozi wa vyama vyama upinzani pia imetuchelewesha Sana , kujenga umoja wa kitaifa,
 
Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?

Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Lete ushahidi wa pesa za umma kununua wapinzani. Letu ushahidi wa kutukana watu, Rais wa nchi anapimwa kwa data za vitu alivyofanya. Elimu toka primary school mpaka secondary school ni bure, bwawa la kutengeneza umeme, Sgr, vituo na hospitali za afya, anzia mtwara mpaka kigoma, nidhamu katika utumishi wa umma nk.... Nitajie rais asiyekuwa na mapungufu hapa duniani...

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Niseme tu ukweli yule jamaa yenu mwenye allergy na ndege na kingereza alikuwa anatupeleka sipo kama nchi.
Mimi mama namkubari sijui nyie wenzangu
 
Lete ushahidi wa pesa za umma kununua wapinzani. Letu ushahidi wa kutukana watu, Rais wa nchi anapimwa kwa data za vitu alivyofanya. Elimu toka primary school mpaka secondary school ni bure, bwawa la kutengeneza umeme, Sgr, vituo na hospitali za afya, anzia mtwara mpaka kigoma, nidhamu katika utumishi wa umma nk.... Nitajie rais asiyekuwa na mapungufu hapa duniani...

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Nimekuambia mapema,wewe siyo wa kuambiwa ukaelewa! Huo ujenzi wa hospitali na elimu bure,ndio kazi ya kodi zetu. Hata wakoloni walijenga miundo mbinu mingi tu. Wajerumani ndio waliojenga treni unayoiona. Serikali ya nyerere na ya Mwinyi walisomesha bure watanzania kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu! Hata leo,serikali ya raisi samia inaendelea kujenga hospitali na miundombinu mingine,na kusomesha bure watanzania kwa kodi zetu.
 
Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?

Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Pointi tupu,Mange hoye,mama Samia hoye,Tanzania hoye,Kazi iendelee!
 
Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.

Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.

Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefuView attachment 1945136

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mange alikuwa anatukana hadi raisi ,sasa wanasemaje samia akitukanwa ni kosa wakati mama anagonga 5 na mange kimambi ,vipi waziri aliye sema raisi anatukanwa mitandaoni ni lazima atujibu ili
 
Fursa.... yule jamaa marehemu kuna mianya aliiziba watu wakawa wanahaha huku na kule...ndio chanzo cha kuwa na maadui wengi na wengine wakafuata mkumbo either kwa kutumika bila kujua au wakiwa wamelambishwa kitu kidogi..

Vitender tender na vidili dili ndani ya serikali jamaa aliviziba na kupiga pin kabisa, siafu ilibidi watoke mashimoni kushambulia huku na kule..Hawa akina Mange na Diaspora wengine walipiga sana vidili dili na serikali awamu ya nne, yule jamaa alivyoingia akapiga lock kila mahala, kifuli lazima awe na maadui tu...
 
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Haiwezi kuwa siku jf bila magufuli kutajwa.. yaonekana tz haijawahi kuwa na marais wengine zaidi yake kiasi sasa jf std practice ni kutaja magufuli kwa kila hoja..
 
Alishachoka kuishambulia CCM baada ya kuona watanzania wamezubaa, kama zile kelele zake zingefanikiwa kuwaamsha watanzania waiondoe CCM madarakani sidhani kama leo angekutana na Samia hapo, huyo Mange ni sawa na mhaini tu anaejipendekeza asamehewe dhambi zake.

Huyu dada hajawahi kushambulia chama amekuwa akishambulia viongozi wake sio chama na kuna tofauti kubwa kati ya mtu na chama. Magufuli hakuwa CCM alikuwa mwenyekiti lakini sio chama
 
Back
Top Bottom