Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Imagine angemuwasha makofiUlinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe asisogelewe sana na raia wa kawaida.
Hivyi vipi KUHUSU wanausalama na silaha wanaruhusiwa KUWA Nazo au watu wasambaze mkong'oto