Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Victoire dadangu umebadilika sana na hizo kauli ngumu....

YASHILAGA MAYU
 
Kwa kifupi Magufuli alichemka sana kuwa na mgombea mwenza mwanamke,hasa huyo chief Hangaya.

Unasikitisha sana

Labda wewe mwenzetu ulibebwa kwenye tumbo la mwanaume, ukalelewa na mwanaume ndio maana waweza wasemea vibaya wanawake
 
Rais akiwa nje nchi ile mitutu na ffu hakuna kule anapatiwa ulinziwa hadhi yake plus advance team yake watu 12 .....na wale 5 anaokuja nao .....bastola 5 tu huruhusiwa kuingia nazo ......protocols za kimataufa ila suo nchi zile G20 uko tofauti kidogo

Nashangaa leo sijaona ata ile migaria ya antenna watu wanaofanya kuvaa kikomando, na rundo la watu wakizunguka
 
Kazi ya Mange iliisha. Nathubutu kusema Mange hajawahi kuwa mpinzani bali alifanya kazi ya wapinzani wa Jiwe waliokuwepo ndani ya CCM
Mange yupo karibu sana na wale jamaa wawili.......na ndio wao waliokuwa wanamtuma na kumlipa.
Ila yote kwa yote CCM wote hawafai
 
Mb

Mbona kesi nyingine anafuta,msimuinguze JPM kwenye ujinga wenu nyie timu msoga na timu bibi mwenye matiti makubwa kama maboga
Wewe Ni mtoto mdogo wa miaka 15 eee?!!

Hajwezekani ukawa umefika miaka 18.....

#SiempreJMT
 
Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.

Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.

Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefu

View attachment 1945136

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kweli muda ni kitu kinachosema ukweli daima.Mama anaonyesha ualisia wake dhahiri shahiri.Kumbe?Hata uteuzi wa January Makamba hakukosea ni mipango ilivyo.Baada ya muda tutaona Bandari ya bagamoyo.Tutaona mengi.
 
Ila pia sijaona sababu ya ikulu kuficha ndege aliyotumia mama
Ilipaswa waonyeshe akiondoka na aina ya ndege na pia waonyeshe alivyokuwa anatua
 
Hilo bango la Mange naona limerudishwa chap uvunguni sijuwi aliandika vitu gani....
Kimambi alijipanga kwa hasira na vituko, lakini TABASAM la Mama lilimfanya apagawe naye atabasam na ajawe na furaha badala ya chuki. Na mama akapozi na kumsoma, si unajua tena Mama kwa kuwasoma watu.

Hakuna hata haja ya kujua Kimambi aliandika nini katika lile Bango.
 
Niseme tu ukweli yule jamaa yenu mwenye allergy na ndege na kingereza alikuwa anatupeleka sipo kama nchi.
Mimi mama namkubari sijui nyie wenzangu
Kwa Aina hii ya mapokezi! Raisi wetu anapokelewa na kupiga picha na Mange Kimambi na Polisi wanamsogelea kiasi hicho na bastola yaani dah Magufuli alikuwa anatupeleka pazuri Hizo dharau hata Meya wa New York akija Tz hatuwezi kumpokea hivyo why Sisi tena kwa Head of state JPM alituheshimisha Sana refer mapokezi aliyopewa South alipohudhuria sherehe za kumuapisha Raisi wao, A President isn't suppose to be that cheap kwa lolote
Pole Sana JPM alikuwa anatupeleka kwenye heshima tunayostahili kama nchi! Ni Bora hakwenda na hakika angeenda huko asingepokelewa ovyo hivyo
 
Mange alimtikisa sana mzee wa watu. Na amechangia sana kumqliza chaji ya betri
 
Kila nabii na kitabu chake mdau, na adui wa Kikwete sio adui wa Magufuli, wala Samia, rejea Kagame na babu seya misi saga.
Move on mwana wane, mwache Samia afanye yake, JPM tulimpenda , mungu kampenda zaidi.
Watu wanarithi Mali sio maadui.
 
Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.

Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.

Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefu

View attachment 1945136

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kwanini Mange Afunike Bango alilokwenda nalo mwenyewe, kwanini aone aibu kwa bango alilolibeba mwenyewe?. "Ukiona unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe basi tambua kiko kitu akikosawa katika akili yako".
 
Kwa Aina hii ya mapokezi! Raisi wetu anapokelewa na kupiga picha na Mange Kimambi na Polisi wanamsogelea kiasi hicho na bastola yaani dah Magufuli alikuwa anatupeleka pazuri Hizo dharau hata Meya wa New York akija Tz hatuwezi kumpokea hivyo why Sisi tena kwa Head of state JPM alituheshimisha Sana refer mapokezi aliyopewa South alipohudhuria sherehe za kumuapisha Raisi wao, A President isn't suppose to be that cheap kwa lolote
Pole Sana JPM alikuwa anatupeleka kwenye heshima tunayostahili kama nchi! Ni Bora hakwenda na hakika angeenda huko asingepokelewa ovyo hivyo
Mkuu ulitaka apokelewe na Biden pale JFK,unajua hii ni aina gani ya safari kwa hawa wakuu wa nchi wanachama wa UN?

Work visit haihitaji mambwembwe yale kama State visit sijui mizinga 21 na upokelewe kwa gwaride,hii ni ziara ya kikazi tena UN siyo kwenye Serikali ya US hivyo si Biden wala Harris wanaweza kwenda kumpokea.

Hapa wamepokewa na Liaison Officer mmoja toka UN na ulinzi anapewa kama Rais wote watakao hudhuria hii shughuli.

Usichanganye safari ya JPM South A na hii ya Hangaya UN(US).
 
Ulinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe asisogelewe sana na raia wa kawaida.
Hapa ndio upo kwenye njia yako at least..

Spiritual Intelligence
 
Ilihali mange ni mwanamke basi hakuna shida, mama ana recruit timu ya kwenda nayo 2025, akina mdee, bulaya, matiko ni miongoni mwa timu itakayompigia kampeni

Stay tuned
 
Back
Top Bottom