Anakuwa rais wetu anapokuwa tz tu. akifika marekan ni raia Kama wengine. Ndio maana ukiangalia ata mangi alivyo vaaa si mavaz ya mtu kukutana na rais wa nchi bali ni vaz la mtu kukutana na raia mwenzake.
Mange alikua anaandamana ama alipanga kukutana?
Naona wote waliokua wanampinga na kumtukana Magufuli sasa wanajipendekeza kwa mama wapate kuteuliwa, tusubiri tuone.
Hivi polisi wa New York wanaruhusiwa kumsogelea rais wetu kiasi hicho na Bunduki nje nje?