Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Ulinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe, asisogelewe sana na raia wa kawaida.
Mange alibeba Bango naaona karirudisha chap ...sijuwi liliandikwa vitu gani.....
 
42nd St..1st Avenue..
Ready for UNGA 76..
Dunia yote iko hapa..
Polish_20210919_191221059.jpg
Polish_20210919_191639458.jpg
 
Alishachoka kuishambulia CCM baada ya kuona watanzania wamezubaa, kama zile kelele zake zingefanikiwa kuwaamsha watanzania waiondoe CCM madarakani sidhani kama leo angekutana na Samia hapo, huyo Mange ni sawa na mhaini tu anaejipendekeza asamehewe dhambi zake.
 
Mama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
 
Uzuri wake na ubaya wake upi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?

Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
 
Mama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Kama Maalim alishindwa kuiondoa ccm huko kwenu Zanzibar,huku barq mzee sahau sioni upinzani serious wenye mikakati chanya kupambana na jini la Lumumba!!
 
Back
Top Bottom