Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mange alibeba Bango naaona karirudisha chap ...sijuwi liliandikwa vitu gani.....Ulinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe, asisogelewe sana na raia wa kawaida.
Mimi hata sioni tatizo liko wapi. Rais alikuwa kwenye shughuli zake halafu mtu akamfuata na kuomba kupiga picha na yeye, sasa sijui walitaka akatae?Mnahangaika bure,zama za Chato zilikoma kaburini
Uzuri wake na ubaya wake upiMagufuli alikuwa mtu mbaya mno huo ndio ukweli
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.Mama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Ingawa nayeye anafanya huo huo aliokuwa anafanya MagufuliSasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
Fafanua mkuuMama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?
Kama Maalim alishindwa kuiondoa ccm huko kwenu Zanzibar,huku barq mzee sahau sioni upinzani serious wenye mikakati chanya kupambana na jini la Lumumba!!Mama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Ana exaggerate mambo kaona aibu. Ndio ujue siasa ya mtandaoni ni tofauti na groundHilo bango la Mange naona limerudishwa chap uvunguni sijuwi aliandika vitu gani....