Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Sasa kumbe kazi ya rais ni nini? Hivi mnajua hata mnavyovitaka? Kazi ya kuongoza nchi si lele mama kama mnavyofikiria, ni rahisi kutukana na kuponda. Anyway nasubir ushahidi wako hata kidogo tu, tuone hizo pesa za umma zilivyonunua wapinzani.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la makamanda uchwara ni kutokujielewa.
Katika watu ambao hawajielewi kabisa kabisa ni watu waliokuwa timu Magufuli. Ni kaputi wa kiwango cha juu kuliko. Wao walidhani ''makamanda'' ndiyo adui yao wasijue kuwa adui yao alikuwa anakula na Magufuli kila siku. Hebu nikupe mfano mmoja. Huyu Mange ni mmoja ya watu waliomtukana na kumdhalilisha Magufuli mno. Leo rais Samia amesimama na kufurahi naye huku anapiga picha. Umegundua nini kwenye hili? Kwa hali ya kawaida huyu angekuwa mhalifu kama wahalifu wengine kwani alidhalilisha mamlaka ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haijalishi ni nani yuko kwenye kiti cha urais lakini kosa lingekuwa pale pale. Hivi akili zako bado zinashindwa ku-connect dots tu baada ya rais wa sasa kumuona kama shujaa?
 
Huyu dada hajawahi kushambulia chama amekuwa akishambulia viongozi wake sio chama na kuna tofauti kubwa kati ya mtu na chama. Magufuli hakuwa CCM alikuwa mwenyekiti lakini sio chama

Kweli hata rangi ya viatu na sarawili yake inasema hivyo. Hajawahi kushambulia chama.
 
Rais kamwambia Mange β€œnimefurahi kukuona.”

A day after Home Minister Simbachawene kutangaza vita dhidi ya militant critics wa mitandaoni. Mange Kimambi is by far and away the most feared and visible online enermy of the Tanzanian regime. President shakes hands and says is happy to meet her.

Simbachawene what say you now?
 

Hii ni kujijenga ama kujibomoa kwa matendo yako mnyewe?
 
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Kabula alikua viti maalum ktk bunge lipi au ktk nn?kuna mengi ya kumsemea huyu mzee ila hili si moja wapo.
 
Change the title

Hajakutana naye

Ameir a kupiga picha na samia
 
Sasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
Bora umemwambia huyu mtu naona bado mchanga sana kiakili
 
Haya ndiyo majaribu kweli, hivi Samia pale angefanya nini? Ni kweli mange kimambi kaitukana Sana serikali na akija tz sidhani kama ataachwa, ila kule ugenini na kaja Kama watz wengine kumpokea na ghafla ndiyo hivyo tena, je angeonesha chuki zake kwa mange kimambi waziwazi? Na hata akiionesha Kuna msaada gani?
 
LOoo, mkuu, inabidi nikushangae wewe kwa kuendelea kudhani kwamba 'Maza Mizinguo' ni kitu kimoja na yule jamaa wa Chato!

Hata hivyo, mshangao wangu kwako unaongezeka zaidi kwa wewe kuendelea kuamini kwamba huko CCM bado kuna kitu cha kukiamini. Bila shaka nawe ni mmoja wa hao jamaa au siyo?
 
Sasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
Ubabe wa JPM ulikuwa na tija kwenye Taifa la watu waoga kama letu. Kwa mfano isingekuja tokea watu wahamie Dodoma kama sio ubabe wa mtu mmoja tu!!!
Kuna mengine ametuachia njia panda ili tuhangaike nayo mpaka tunazeeka. Maana pulling yake inataka zaidi ya mbaula kadhaa. Kwa uthubutu tena kwa mifano, JPM ipo siku atakumbukwa sana. Kama haki za binadamu ndio tatizo, mbona mwenyekiti yuko ndani anapambana na hali yake???
 
Mange anataka asamehewe apewe Passport mpya na arudi Bongo [emoji23][emoji23][emoji23], anaunga mkono juhudi , atapewa ukuu wa wilaya soon
Atahangaika sana. Mama ameogopa mkono πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Rais akiwa nje nchi ile mitutu na ffu hakuna kule anapatiwa ulinziwa hadhi yake plus advance team yake watu 12 .....na wale 5 anaokuja nao .....bastola 5 tu huruhusiwa kuingia nazo ......protocols za kimataufa ila suo nchi zile G20 uko tofauti kidogo
 
Sasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
Na hivi amekuwa Rais ubabe umeisha? Watu hawabambikiwi kesi, hawawekwi mahabusu bila sababu, mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote ruksa, kila mtu ana haki ya kufanya jogging n.k?

Amandla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…