Mange alikua anaandamana ama alipanga kukutana?
Naona wote waliokua wanampinga na kumtukana Magufuli sasa wanajipendekeza kwa mama wapate kuteuliwa, tusubiri tuone.
Hivi polisi wa New York wanaruhusiwa kumsogelea rais wetu kiasi hicho na Bunduki nje nje?
Kwa Aina hiyohiyo ya safari usitegemee kumuona Putin,Market, Xi Jinpin, Macron na viongozi wengine wa Ulaya wakipewa mapokezi ya namna hiyo yaani Askari wa NYPD anakaa 0 distance na Raisi huku ameshika pistol hayo wanafanyiwa waafrika tuMkuu ulitaka apokelewe na Biden pale JFK,unajua hii ni aina gani ya safari kwa hawa wakuu wa nchi wanachama wa UN?
Work visit haihitaji mambwembwe yale kama State visit sijui mizinga 21 na upokelewe kwa gwaride,hii ni ziara ya kikazi tena UN siyo kwenye Serikali ya US hivyo si Biden wala Harris wanaweza kwenda kumpokea.
Hapa wamepokewa na Liaison Officer mmoja toka UN na ulinzi anapewa kama Rais wote watakao hudhuria hii shughuli.
Usichanganye safari ya JPM South A na hii ya Hangaya UN(US).
Unakuza mambo tu,ngoja nikwambie jambo, hivi sasa NYC iko lockdown sababu ya huu mkutano wa UNGA,viongozi karibia wote wa nchi wanachama wa UN watakuwa NYC,unadhani United State Secret Service wataweza kutoa ulinzi kwa viongozi wote?Kwa Aina hiyohiyo ya safari usitegemee kumuona Putin,Market, Xi Jinpin, Macron na viongozi wengine wa Ulaya wakipewa mapokezi ya namna hiyo yaani Askari wa NYPD anakaa 0 distance na Raisi huku ameshika pistol hayo wanafanyiwa waafrika tu
Lini Marais wa marekani wakawapokea Marais wa nchi nyingine wanaohudhuria mkutano mkuu wa umoja wa mataifa(UNGA)?!!Kwa Aina hii ya mapokezi! Raisi wetu anapokelewa na kupiga picha na Mange Kimambi na Polisi wanamsogelea kiasi hicho na bastola yaani dah Magufuli alikuwa anatupeleka pazuri Hizo dharau hata Meya wa New York akija Tz hatuwezi kumpokea hivyo why Sisi tena kwa Head of state JPM alituheshimisha Sana refer mapokezi aliyopewa South alipohudhuria sherehe za kumuapisha Raisi wao, A President isn't suppose to be that cheap kwa lolote
Pole Sana JPM alikuwa anatupeleka kwenye heshima tunayostahili kama nchi! Ni Bora hakwenda na hakika angeenda huko asingepokelewa ovyo hivyo
Kwani hiyo ni "state visit"?!!!Zile mbwembwe za ulinzi ni bongo tu akifika mbele anakua kama fundi maiko
Obama na Bush walikuja na walinzi watano tu wenye bastola hapa Tanzania? CCM kuna vijana wa hovyo sana.Rais akiwa nje nchi ile mitutu na ffu hakuna kule anapatiwa ulinziwa hadhi yake plus advance team yake watu 12 .....na wale 5 anaokuja nao .....bastola 5 tu huruhusiwa kuingia nazo ......protocols za kimataufa ila suo nchi zile G20 uko tofauti kidogo
Demokrasia hakuiweza.
😲😲Ni lini marais wa Marekani wakawapokea Marais wa nchi nyingine wanaohudhuria "UNGA"?!!Aisee...
Kapokelewa kama mkimbizi wa kimexican...
Anasindikizwa na Immigration Officer...
Kweli Tanzania kaiinchi kadogo sana kwa mabeberu....🤣🤣🤣
Na hayo ya t-shirt "Diaspora tunakukubali" hayo ya "Bango" yalikuwa kibwagizo tu!Naomba maandishi ya bango yaletwe hapa
Mkuu 'Mwanambee' hapo juu kakufahamisha vizuri tu, kwa kukutajia hiyo mifano, lakini wewe unaendelea kujitia ujuaji.Unakuza mambo tu,ngoja nikwambie jambo, hivi sasa NYC iko lockdown sababu ya huu mkutano wa UNGA,viongozi karibia wote wa nchi wanachama wa UN watakuwa NYC,unadhani United State Secret Service wataweza kutoa ulinzi kwa viongozi wote?
Hivi tangu nchi hii ipate uhuru,rais gani alishapendwa 90%The worst president in Tz history lazima atajwe.
yule ni peponi moja kwa moja,kazi aliyoifanya ya kupasua vichwa vya nguchiro kama wewe imetukuka.Nawewe ungana na wasukuma wenzako kumuombea TOBA yule lucifer
Kivipi? FafanuaKumbe jamaa kelele zote za miaka mitano ni kwamba ulitengwa na mfumo aisee , ukiona Mtu mweusi akikupambania unatakiwa kuwa makini sana.Watu wanakuwa wanapigania walivyopoza kwa mda huo.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kidume kile, alikupigisha kampeni na njaa zako na hakukupa hata sumni. JPM kiboko.The worst president in Tz history lazima atajwe.
Aliwaambia wa chini yake kuwa akiona bango la malalamiko kibarua kinaota nyasi, sasa na yeye kapigwa mabango kwenye nchi ya ma-cowboys, je atajiondoa kwenye Urais? Au balozi ndio atang'oka?Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.
Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.
Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefu
View attachment 1945136
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Khaaaa kijana shule hazijafunguliwa BADO?Mange alimtikisa sana mzee wa watu. Na amechangia sana kumqliza chaji ya betri