Rais Samia awasili nchini Ethiopia

Mkutano wa AU Head of States huko pia mnasema ni "kukata mbuga"?.

Askari wetu wasiende kufa bure Kongo Maza awe mkali kwa Tishekedi.
Hupendi tu hao m23 wanyoshwe. Kufa kwa askari vitani haijawahi kuwa ajabu.
 
Aliekwambia ccm wanashinda kwa kampeni nani?
 
Silaha aliruhusu yeye zitoke bandarini baada ya yule mwovu kumdanganya
Khaaaa nikijua wakeleta madege yao....kumbe zimepita hapa hapa hatari sanaaa sasa zinatupiga wenyewee....pia tuamke naona sabotage siku moja tukipigwa hapa ndani sbb kuwapelekea moto huko DRC soon.....
 
Namuomba rais wetu, katika hotuba yake, wajadili namna ya jinsi umoja wa mataifa watakavyoweza kusaidia kuona ni kwa namna gani, sera ya rasilimali za nchi za Afrika, kutunzwa kwa sheria maalumu, ya kimataifa, kwa kuwa na certificate of origin, kutoka kwa nchi husika, machimbo yalipo ndani ya nchi husika, Jina la machimbo hayo, na dunia kuepuka kununua madini hovyo hovyo, kutoka kusikojulikana, hili litasaidia kupunguza uovu wa waovu, kwa kuwabana, vilivyo wale wote, "minerals Dons,ambao wako tayari kwa kumwaga damu alimradi mali ipatikane" ndani ya Africa, ambacho ndicho chanzo kikuu cha machafuko Afrika.
N. B, Tunaweza kuweka utaratibu tu bila vita drc, amani inapatikana.
 
Mzururaji! Nyumbani giza
 

Attachments

  • IMG-20240217-WA0007.jpg
    70.1 KB · Views: 2
Soko gani unataka wakati hata kuzalisha huzalishi chochote, na wala umeme wa kuwasha kibatari huna, waswahili porojo tuu, lini mtakuwa serious nyie?
Sisi tunajua porojo tu !
Kisha tunamalizia siku na ubishi wa Simba na Yanga au tukienda mbali kidogo tutazungumzia Hamas na Israel !!
Siku inaisha tunaenda kulala !
Mafisadi wanachora mikeka yao na kutuzoom kwa mbaaalii !!
πŸ™πŸ™
 
Mineral’s Dons wanapuganila madini tunasemaga kwa kigiriki πŸ˜…
Halafu useme amani itapatikana ??!
πŸ™„πŸ™„
 
Apunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Huo mbona ni mkutano wa kikazi kwa kiongozi wa nchi na ni lazima Tanzania tuwepo. Mambo ya Congo DRC yanatuhusu sana
 
πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ«€πŸ˜•πŸ˜‘
 
Mineral’s Dons wanapuganila madini tunasemaga kwa kigiriki πŸ˜…
Halafu useme amani itapatikana ??!
πŸ™„πŸ™„
Kukiwekwa mifumo maalumu ya utambuzi, origin, umiliki, kuwepo authority maalumu kama verifier before sales, tutashinda, yapewe restriction kali, kama pembe za ndovu, lakini kuwepo mamlaka maalumu ya kuthibitisha, uswiss.
N. B, Ili uuze madini iwe ni lazima uombe kibali, wakaguzi wakague wathibitishe origin, ndipo yauzwe, endapo kama tumechoka na migogoro Afrika, 90% percent ya migogoro imesababishwa na madini, Africa.
 
Afrika Union ni kijiwe cha viongozi na siyo umoja wa kuwaunganisha Waafrika.

Hakuna nchi ambayo wsnanchi wake walihiyari kujiunga na umoja huo.

Tuanzishe umoja wa dhati kwa kuwashirikisha wenye nchi na siyo kuwaamulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…