Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani anaposafiri hapigi mpunga? Analipwa ujue!Mama akiwa safarini washikaji wanajipigia tu mpunga. Na akitoka huko wanampa tena ziara nyingine.
Acha tu mkuu... Ni matesoSasa nimeamini,
Safari hizi ni kukwepa maandamano na kusikilizia kero za wananchi.
Ajiandae tu kwakweli.
Namaanisha yeye anapokuwa hayupo wale wanaobaki nchini ndiyo wanajihamishia mpunga watakavyo. Hiyo ya yeye na wapambe wake kula mpunga ni obviousUnadhani anaposafiri hapigi mpunga? Analipwa ujue!
Hupendi tu hao m23 wanyoshwe. Kufa kwa askari vitani haijawahi kuwa ajabu.Mkutano wa AU Head of States huko pia mnasema ni "kukata mbuga"?.
Askari wetu wasiende kufa bure Kongo Maza awe mkali kwa Tishekedi.
Aliekwambia ccm wanashinda kwa kampeni nani?Huyu ajifunze kuwakilishwa atadhurika afya jamani...anasafiri nje kuliko anavyoenda kwao kusalimia!!!
Mwakani atatakiwa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni na kampeni itakuwa ngumu!!
Embu madaktari wamrekebishie ratiba asiteseke hivyo.
Kiongozi unaenda kujadili yawengine huku nchi Yako Iko gizani na wananchi wanalia hakizao kuwa ngumu...unapatawapi ujasiri huoo??
Silaha aliruhusu yeye zitoke bandarini baada ya yule mwovu kumdanganyaWasisahau kujadili DRC haki mbaya sanaaaa kama vile nchi haina mwenyewe m23 wanerudi ngubu kubwa saba silaha kisasa
Khaaaa nikijua wakeleta madege yao....kumbe zimepita hapa hapa hatari sanaaa sasa zinatupiga wenyewee....pia tuamke naona sabotage siku moja tukipigwa hapa ndani sbb kuwapelekea moto huko DRC soon.....Silaha aliruhusu yeye zitoke bandarini baada ya yule mwovu kumdanganya
Kutwa,hivi hachoki si atume wawakilishi!Kiguu na njia[emoji29]
Mzururaji! Nyumbani gizaView attachment 2907412
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.
Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.
Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Sisi tunajua porojo tu !Soko gani unataka wakati hata kuzalisha huzalishi chochote, na wala umeme wa kuwasha kibatari huna, waswahili porojo tuu, lini mtakuwa serious nyie?
Mineral’s Dons wanapuganila madini tunasemaga kwa kigiriki 😅Namuomba rais wetu, katika hotuba yake, wajadili namna ya jinsi umoja wa mataifa watakavyoweza kusaidia kuona ni kwa namna gani, sera ya rasilimali za nchi za Afrika, kutunzwa kwa sheria maalumu, ya kimataifa, kwa kuwa na certificate of origin, kutoka kwa nchi husika, machimbo yalipo ndani ya nchi husika, Jina la machimbo hayo, na dunia kuepuka kununua madini hovyo hovyo, kutoka kusikojulikana, hili litasaidia kupunguza uovu wa waovu, kwa kuwabana, vilivyo wale wote, "minerals Dons,ambao wako tayari kwa kumwaga damu alimradi mali ipatikane" ndani ya Africa, ambacho ndicho chanzo kikuu cha machafuko Afrika.
N. B, Tunaweza kuweka utaratibu tu bila vita drc, amani inapatikana.
Huo mbona ni mkutano wa kikazi kwa kiongozi wa nchi na ni lazima Tanzania tuwepo. Mambo ya Congo DRC yanatuhusu sanaApunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
😳😳😳🫤😕😡View attachment 2907412
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.
Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.
Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Kukiwekwa mifumo maalumu ya utambuzi, origin, umiliki, kuwepo authority maalumu kama verifier before sales, tutashinda, yapewe restriction kali, kama pembe za ndovu, lakini kuwepo mamlaka maalumu ya kuthibitisha, uswiss.Mineral’s Dons wanapuganila madini tunasemaga kwa kigiriki 😅
Halafu useme amani itapatikana ??!
🙄🙄
Afrika Union ni kijiwe cha viongozi na siyo umoja wa kuwaunganisha Waafrika.View attachment 2907412