Rais Samia awasili nchini Zambia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

Rais Samia awasili nchini Zambia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

Kwani hao wote uliowataja wako wapi tumia akili lau kidogo mwanangu. Hao wengine unaowataja hawana rekodi chafu kama Jakaya Kikwete mosi, pia, hawakuwa marais wa Tanzania ukiondoa Nyerere ambaye anajulikana kwa usafi wake. Tafuta sababu nyingine ya kuhoji

Mkuu punguza chuki na wivu kwa Kikwete! JK sio Jakaya tu!
 
Mkuu hakuna anaye mfikia Nyerere!
Huu ni UONGO, President Nyerere (rip),ameitawala Tanzania more than 25 yrs, kipindi kile kilikua kigumu hasa cold War,ukombozi wa nchi nyingi za kusini, etc etc, but President Nyerere hakua na makuu, motorcade yake less than 4 cars, pale msasani alipoishi wale majirani zake wenye vibanda hakuwaondoa na alikua anawatembelea, pale Mwitongo ni pa kawaida, nyumba amejengewa na jeshi, museum yake pesa kutoka kwa president Samora, kipanda kinachohifadhi kaburi lake fedha zimetoka kwa president Madiba, sasa nenda pale Msoga uone wizi wa pesa yetu (only 10yrs ya utawala wake),nenda pale lushoto uone maajabu (naye 10yrs tu),my best president, Mwinyi ewe Mwenyezi Mungu mpe maisha marefu yenye furaha, alichafuliwa sana ila Ali apply cool head, na hakulipiza kisasi
 
Tofauti ya Wazambia na Wabongo nuksi ni kubwa sana.

Wazambia walipopata fursa tu wakakifukuza Chama cha UNIP Wabongo nuksi wamekalia Uchawa.
baafa ua kukifukuza UNIP wamenufaika vipi kiuchumi kuliko Nchi yetu?
Nchi zote zinazotuzunguka zimefukuza vyama tawala kasoro Mozambique ila hakuna la maana lolote walilopata, Malawi huko kila uchaguzi wanadondosha Chama tawala hadi matokeo yake wanazamia Kyela kutafuta maisha bora
 
Mama anaelekea kuvunja rekodi ya JK
Kishavunja za Marais wote

Hakuna hata Rais mmoja wa Tanzania tangu Dunia iumbwe aliejaribu kuruhusu mjadala wa Kitaifa kwmy Mikataba mikubwa ya kiuekezaji na kuridhia marekebisho kutokana na mjadala huu zaid ya Daktari Sania Suluhu Hassan
 
Wakati wa malehemu Mkuu Magufuli mijibwa koko ulikuwa au ilikuwa haionekani mitaani ,leo yupo mdada anaongoza nchi tunaona ni jinsi gani mijibwa koko yanavyokweka.
Mala bandali imeuzwa,mala waalabu wamepewa nchi ,mala anapanda ndege ,anasafili sala, yaani tunaiona mijibwa koko ilivyochangamka mikiya juu.
ila ikichakarishwa tu ,hupotea wengine hukimbia za mwendo kasi wanaenda kuangalia kuna nini wakiwa ughaibuni.
 
Back
Top Bottom