Huu ni UONGO, President Nyerere (rip),ameitawala Tanzania more than 25 yrs, kipindi kile kilikua kigumu hasa cold War,ukombozi wa nchi nyingi za kusini, etc etc, but President Nyerere hakua na makuu, motorcade yake less than 4 cars, pale msasani alipoishi wale majirani zake wenye vibanda hakuwaondoa na alikua anawatembelea, pale Mwitongo ni pa kawaida, nyumba amejengewa na jeshi, museum yake pesa kutoka kwa president Samora, kipanda kinachohifadhi kaburi lake fedha zimetoka kwa president Madiba, sasa nenda pale Msoga uone wizi wa pesa yetu (only 10yrs ya utawala wake),nenda pale lushoto uone maajabu (naye 10yrs tu),my best president, Mwinyi ewe Mwenyezi Mungu mpe maisha marefu yenye furaha, alichafuliwa sana ila Ali apply cool head, na hakulipiza kisasi