Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Malipo ya niniMalipo yako kwa hii comment mkuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ya niniMalipo yako kwa hii comment mkuu!!
🗑️🗑️Malipo yako mkuu!
Ww wanakukata nini? Umeelewa swali nililouliza au unaparamia kujibu utumbo?Kwa hiyo unataka alifungie Taifa letu chumbani?au unafikiri Tanzania ni kisiwa? Kwani kuna mipaka ambako inatakiwa asiende kuliwakilisha Taifa letu? Kwani umesikia kuna vikwazo vya aina yoyote ile ambavyo tumewekewa kama nchi kwa Rais wetu kutokwenda sehemu fulani?
Ya kazi yako mkuu. In Tsh.Malipo ya nini
🚮 🚮🚮🗑️🗑️
Nenda Katie povu na huku Ili nao wahamishie ofisi huko.Kwanini asihamishie ofisi yake huko ili asipate shida ya kusafiri kila mara kwenda huko?
Nadhani ikulu ya Dom tungeijenga Riyadh ama Doha ili mama yetu kipenzi asipate shida ya kupanda ndege kwenda kutafuta fedha za kuwainua Watanzania kiuchumi....
Mama mitano tena jamani, anafanya kazi kubwa sana...
Silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaaniYa kazi yako mkuu. In Tsh.
Waanze kukulipa mkuu, haiwezekani ufanye kazi kubwa namna hii usilipwe. Mwenzako ChoiceVariable anakula maokoto ya chama na serikali.Silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani
Wakati mnaendelea kumwaga povu la ujinga endeleeni kusoma namba Taratibu hapa chini 🤪🤪🤪Kusafiri, kuteua, kutengua na kuhamisha hiyo kasi ameifanya kwa 110%, njoo kwenye maendeleo ni porojo tupu
🗑️🗑️🗑️🗑️Waanze kukulipa mkuu, haiwezekani ufanye kazi kubwa namna hii usilipwe. Mwenzako ChoiceVariable anakula maokoto ya chama na serikali.
Soko kuu la nyama na wanyama hai ni Saudi Arabia.We ni mjinga, lini umeuza mahindi, mtama, mbaazi Saudi Arabia? East Africa inazaidi ya watu milioni 200 ambapo ni soko tosha
Hilo li Bejamini Netanyau ni mbumbumbu na nyumbu wa ufipa .haelewi kitu chochote zaidi ya mibagi iliyomkataa. Endelea kumpa data tu mpaka akimbie humu kama kichaa kama walivyoyakimbia maandamano ya jana na kwenda kujificha vichochoroni.Soko kuu la nyama na wanyama hai ni Saudi Arabia.
Kila siku nakwambia wewe ni mbumbumbu hakuna unachojua.
Kwamba sehemu zingine hawali nyama?Soko kuu la nyama na wanyama hai ni Saudi Arabia.
Kila siku nakwambia wewe ni mbumbumbu hakuna unachojua.
Wakati mnaendelea kumwaga povu la ujinga endeleeni kusoma namba Taratibu hapa chini 🤪🤪🤪
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1722603308429508863?t=kHJ150gz9Nl9Vw_glhNqgQ&s=19
Unamuuliza nani Sasa,wewe hunaga akili.Kwamba sehemu zingine hawali nyama?
Hahahaha yaani wewe dada angu ni mjinga haswa, data gani hapo?Hilo li Bejamini Netanyau ni mbumbumbu na nyumbu wa ufipa .haelewi kitu chochote zaidi ya mibagi iliyomkataa. Endelea kumpa data tu mpaka akimbie humu kama kichaa kama walivyoyakimbia maandamano ya jana na kwenda kujificha vichochoroni.
NaNchi hii shuguli haziishi
Ehe wasani gani watakuwepo
Hapo kutumbuiza
Ova
Wewe mchepuko una tumia akili sio matrakoo,ukiona hizo namba manake Kuna maendelea.We dada angu ni kilaza, tunataka maendeleo na siyo maigizo
We ni mwehu kweli, soko la nyama hata Zanzibar tu hapo na Comoro lipo la kutosha na bado halitoshi. acha ujigaUnamuuliza nani Sasa,wewe hunaga akili.
Kama wanakula na Wana mikataba na Nchi zingine unategemea utapeleka pua Yako kivipi Sasa?