Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Ww wanakukata nini? Umeelewa swali nililouliza au unaparamia kujibu utumbo?
 
Soko kuu la nyama na wanyama hai ni Saudi Arabia.

Kila siku nakwambia wewe ni mbumbumbu hakuna unachojua.
Hilo li Bejamini Netanyau ni mbumbumbu na nyumbu wa ufipa .haelewi kitu chochote zaidi ya mibagi iliyomkataa. Endelea kumpa data tu mpaka akimbie humu kama kichaa kama walivyoyakimbia maandamano ya jana na kwenda kujificha vichochoroni.
 
Hahahaha yaani wewe dada angu ni mjinga haswa, data gani hapo?
 
Unamuuliza nani Sasa,wewe hunaga akili.

Kama wanakula na Wana mikataba na Nchi zingine unategemea utapeleka pua Yako kivipi Sasa?
We ni mwehu kweli, soko la nyama hata Zanzibar tu hapo na Comoro lipo la kutosha na bado halitoshi. acha ujiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…