Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

We ni mwehu kweli, soko la nyama hata Zanzibar tu hapo na Comoro lipo la kutosha na bado halitoshi. acha ujiga
Kwa hiyo kwa akili yako kizibo Zanzibar ndio inaweza kumaliza nyama yote izalishwayo Tanzania ? Kwa bei ipi? Unajuwa Tanzania ni ya pili baada ya Ethiopia kwa kuwa na wanyama wengi? Acha bangi kijana
 
Avumilie asituuze tu, Rais anakuwa kama dalali na viwanja
Mkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.

Wa Sudan, Wa Nigeria na huyu dalali wa fremu, nyumba, vyumba, viwanja, mashamba na mapori tengefu.
 
Aisee uzi bora kabisa, pokea muamala kijana mzalendo

Umetuma kikamilifu TSh 500,000 kwenda kwa LUCAS MWASHAMBWA Vodacom -255742676627 Jumla ya makato TSh 9675, VAT TSh 1741 Salio jipya ni TSh 509,500. Namba ya muamala: 9743239103814. Risiti: ATY-504382-47373838. 10/11/23 08:05
Hilo salio tuma na kwangu....
 
Rais Samia Suluhu amewasili nchini Saudi Arabia kuhudhuria mkutano wa Saudi Arabia na nchi za Afrika unaofanyika jijini Riyadh Novemba 10, 2023, kujadili masuala ya ushirikiano kwenye sekta za biashara, uwekezaji, utalii, kilimo, nishati na madini
F-jbMBQWEAAFAY0.jpeg

F-jmKlyWgAA_SkZ.jpeg

F-jaiQ1XEAA43hP.jpeg

F-jbOiHX0AAsMQh.jpeg
 
Tanzania siyo kisiwa ndugu yangu.katika Dunia hii ya ushindani ukibweteka tu lazima uachwe nyuma.ndio maana Rais wetu anapambana usiku na mchana kuhakikisha kuwa Tanzania hatubaki nyuma wala kuachwa nyuma katika Dunia inayokwenda kwa kasi ya mabadiliko.ni lazima tuende na kasi ya Dunia ya kutafuta fursa.
Sijajua kazi za wateule wa Rais wanafanya kazi gani? Hivi maswala yote lazima ayafanye Rais?
 
Sijajua kazi za wateule wa Rais wanafanya kazi gani? Hivi maswala yote lazima ayafanye Rais?
Mkutano huo ni wa muhimu sana kwa mh Rais kuhudhuria na ndio maana unaona marais wengi wa Afrika wamehudhuria pasipo kutuma wawakilishi.
 
Mkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.

Wa Sudan, Wa Nigeria na huyu dalali wa fremu, nyumba, vyumba, viwanja, mashamba na mapori tengefu.
Uwe na adabu kwa mh Rais na siyo kuandika kwa kuropoka kama mlevi wa gongo.
 
Back
Top Bottom