Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #101
Utaelewa tu kichwa chako kikikaa sawa baadaye maana saizi najuwa tayari umeshajifukiza vya kutosha.Hahahaha yaani wewe dada angu ni mjinga haswa, data gani hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaelewa tu kichwa chako kikikaa sawa baadaye maana saizi najuwa tayari umeshajifukiza vya kutosha.Hahahaha yaani wewe dada angu ni mjinga haswa, data gani hapo?
🚮🚮🚮🚮🗑️🗑️🗑️🗑️
Nabishana na mbumbumbuWe ni mwehu kweli, soko la nyama hata Zanzibar tu hapo na Comoro lipo la kutosha na bado halitoshi. acha ujiga
Kwa hiyo kwa akili yako kizibo Zanzibar ndio inaweza kumaliza nyama yote izalishwayo Tanzania ? Kwa bei ipi? Unajuwa Tanzania ni ya pili baada ya Ethiopia kwa kuwa na wanyama wengi? Acha bangi kijanaWe ni mwehu kweli, soko la nyama hata Zanzibar tu hapo na Comoro lipo la kutosha na bado halitoshi. acha ujiga
Hahahahaha yaani wewe dada angu ni balaa tupuUtaelewa tu kichwa chako kikikaa sawa baadaye maana saizi najuwa tayari umeshajifukiza vya kutosha.
Sawa dada anguNabishana na mbumbumbu
Mi nimekupa mfano, Zanzibar kuna watalii wangapi au wanakuja na nyama zao?Kwa hiyo kwa akili yako kizibo Zanzibar ndio inaweza kumaliza nyama yote izalishwayo Tanzania ? Kwa bei ipi? Unajuwa Tanzania ni ya pili baada ya Ethiopia kwa kuwa na wanyama wengi? Acha bangi kijana
Mkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.Avumilie asituuze tu, Rais anakuwa kama dalali na viwanja
Hilo salio tuma na kwangu....Aisee uzi bora kabisa, pokea muamala kijana mzalendo
Umetuma kikamilifu TSh 500,000 kwenda kwa LUCAS MWASHAMBWA Vodacom -255742676627 Jumla ya makato TSh 9675, VAT TSh 1741 Salio jipya ni TSh 509,500. Namba ya muamala: 9743239103814. Risiti: ATY-504382-47373838. 10/11/23 08:05
Hahahahha wait and seeAisee!! MUNGU asimamie hili listokee
Sijajua kazi za wateule wa Rais wanafanya kazi gani? Hivi maswala yote lazima ayafanye Rais?Tanzania siyo kisiwa ndugu yangu.katika Dunia hii ya ushindani ukibweteka tu lazima uachwe nyuma.ndio maana Rais wetu anapambana usiku na mchana kuhakikisha kuwa Tanzania hatubaki nyuma wala kuachwa nyuma katika Dunia inayokwenda kwa kasi ya mabadiliko.ni lazima tuende na kasi ya Dunia ya kutafuta fursa.
Wewe ndio huna maendeleoHuyu maza kwa kusafiri jamani ndiyo maana nchi haina maendeleo kabisa
Mkutano huo ni wa muhimu sana kwa mh Rais kuhudhuria na ndio maana unaona marais wengi wa Afrika wamehudhuria pasipo kutuma wawakilishi.Sijajua kazi za wateule wa Rais wanafanya kazi gani? Hivi maswala yote lazima ayafanye Rais?
Uwe na adabu kwa mh Rais na siyo kuandika kwa kuropoka kama mlevi wa gongo.Mkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.
Wa Sudan, Wa Nigeria na huyu dalali wa fremu, nyumba, vyumba, viwanja, mashamba na mapori tengefu.
Hivi juzi na jana si alikuwa North Africa sijui Morocco?Wauze Hadi na Ile ofisi ya lumumba
Vasco Da Gama wa kikeMaza bhana
Ni mama mchapa kazi na mzalendo kweli kweli.Maza bhana