Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani na wala sijawahi kulipwa kwa kazi ya kuandika hapa.mimi nafanya kazi ya kizalendo na siyo kama wewe unavyowaza na kujaribu kupotosha hapa jukwaani kwa mapengo yako Binafsi.
Mkuu nothing personal, uzalendo ni juitoa hiyo mijizi ambayp CAG KAISEMA sio hivi vitu vya praise team hapa mkuu , jana nlikuwa namsikia mtu anasema wezi ni wana ccm na kuna ccm vijana sijui cwt na vitu kama hivyo na wamepewa hivyo vyeo na mwenyekiti wa ccm, ikitokea wameiba mbona wanaruka ruka kuwashushia nyundo ya adhabu? Badala yake wanakuja tena kutuuliza sisi wafanyaje ? Hauoni kama huo mfumo ni wa kipuuzi ? Hii nchi inahitaji kuwa reformed. Juz ccm imepitisha sheria ya kuwalipa malaya wa viongozi kwa maslai ya nani mkuu ? Why walipwe ? We mke wako analipwa kwasababu we unafanya kazi fulan ? Why hukuja hapa kupinga upuuz ule ? Badala yake mnakuja kusifu upuuz hapa, yan nchi hata umeme ni tatizo lakin mnakunya na upuuz wenu hapa kusifusifu mnajikomba nini kwa wezi hao ?
 
Jaribu kutumia lugha za kiungwana na hekima nasiyo lugha za kidhalilishaji .unaanzia wapi kuita wake wa marais malaya?
 
Jaribu kutumia lugha za kiungwana na hekima nasiyo lugha za kidhalilishaji .unaanzia wapi kuita wake wa marais malaya?
Wewe wake zao sawa wanalipwa kwasababu gani mkuu ? Why ? Wakati posho tu za marais ni kubwa ? Yan umlipe mama salma wakati tayari ni mbunge afsa ebu nieleze nielewe. Shule zinatosha ? Dawa hospitali zimetosha ? Infrastructure, vitabu ? Ebu tueleweshane
 
Mkutano upo leo mchana, so far kufikia asubuhi hii wameshawasili watatu.

Wa Sudan, Wa Nigeria na huyu dalali wa fremu, nyumba, vyumba, viwanja, mashamba na mapori tengefu.
Utakufa mapema sana Kwa stress,Rais wa Kenya yupo,wa Rwanda yupo just Kwa uchache kutoka huku EAC
1898936350.jpg
-2027218176.jpg
586162213.jpg
1121748717.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini Riyadh,unaoangazia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta za biashara,kilimo,utalii,nishati,uwekezaji na madini.

Ikumbukwe na kueleweka ya kuwa mikutano ya aina hii ni muhimu kwa kuwa inawakutanisha wafanyabishara na wawekezaji wakubwa sana katika Secta hizo tajwa,ambapo ni fursa nzuri kwetu kama Taifa kupata wawekezaji wenye tija na manufaa kwa maslahi mapana ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.

Ikumbukwe kuwa fursa zinatafutwa na kila mtu ,hivyo ukikaa tu pasipo kuzitafuta na kuzivutia nchini mwako usifikiri zitakuja tu zenyewe kana kwamba Tanzania tupo pekee yetu au tunavitu vya kipekee ambavyo havipo kwingineko. Ni kupitia fursa hizo ambapo tutatengeneza fursa za ajira kwa vijana, maendeleo ya viwanda,kilimo,utalii, uchumi,kuongeza mapato na kupanua wigo wa kodi.

Hakuna nchi isiyotaka au kuhitaji wawekezaji wakubwa.kila nchi inahitaji wawekezaji na ndio maana tuna ona kila nchi ikijaribu kuweka sera na sheria zitakazovutia wawekezaji wengi ,huku ikilinda na kuhakikishia kuwa wawekezaji wanaokuja ni wenye tija ,kwa kusaini mikataba yenye matokeo chanya yenye kuzingatia maslahi ya Taifa na usalama wake,yenye kuzingatia utamaduni wetu na uwekezaji usio pora uhuru wa Taifa letu lakini ambayo haitaliumiza Taifa wala kuleta maumivu kwa kizazi cha sasa na kizazi kijacho .

Kikubwa watanzania tuendelee kuchangamkia fursa ambazo mh Rais anazileta hapa Nchini.lakini pia serikali yetu ihakikishe ya kuwa kila itakapoweka wino wake kusaini mkataba wa aina yoyote ile basi uwe ni mkataba ambao hata vizazi vijavyo baada ya miaka mingi mbele vikija kuusoma vitikise kichwa kwa Tabasamu na kusema kuwa kwa hakika mkataba huu ulisainiwa na wazalendo wa kweli na wenye upendo na Taifa letu na haya ndio matunda yake.

Serikali ihakikishe kwa kila namna wafanyabiashara wetu hapa nchini wanapata nafasi ya kushirikiana na wawekezaji wa nje ili hata siku wageni wakitaka kuondoka basi tusiteteleke na tubakiwe na ujuzi na maarifa ya namna ya uendeshaji.tuzoe fursa zote popote pale Duniani zenye kulifaidisha Taifa na zile zenye kulinyonya Taifa tuziache na kuzipa kisogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Andika tu vizuri OAC🤙
 
Mkuu nothing personal, uzalendo ni juitoa hiyo mijizi ambayp CAG KAISEMA sio hivi vitu vya praise team hapa mkuu , jana nlikuwa namsikia mtu anasema wezi ni wana ccm na kuna ccm vijana sijui cwt na vitu kama hivyo na wamepewa hivyo vyeo na mwenyekiti wa ccm, ikitokea wameiba mbona wanaruka ruka kuwashushia nyundo ya adhabu? Badala yake wanakuja tena kutuuliza sisi wafanyaje ? Hauoni kama huo mfumo ni wa kipuuzi ? Hii nchi inahitaji kuwa reformed. Juz ccm imepitisha sheria ya kuwalipa malaya wa viongozi kwa maslai ya nani mkuu ? Why walipwe ? We mke wako analipwa kwasababu we unafanya kazi fulan ? Why hukuja hapa kupinga upuuz ule ? Badala yake mnakuja kusifu upuuz hapa, yan nchi hata umeme ni tatizo lakin mnakunya na upuuz wenu hapa kusifusifu mnajikomba nini kwa wezi hao ?
Matokeo ya Ziara ya Rais USA

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1722896363820572770?t=dR28zrfv05vOshlRgk-QLA&s=19
 
Riyadh, Saudia

Leaders arrive in Riyadh for Saudi-Africa summit​

main
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Riyadh Deputy Gov. Prince Mohammed bin Abdulrahman at King Khalid International Airport in Riyadh. (SPA)
Swahili news :
RIYADH: Viongozi wa Afrika wameanza kuwasili katika Ufalme wa Saudia kwa ajili ya mkutano wa kilele wa Saudi-Afrika utakaoanza Ijumaa, Shirika la Habari la Saudi limeripoti SPA .

Viongozi hao ni pamoja na Rais wa Nigeria Bola Tinubu, Rais wa Eritrea Isaias Afwerki, Rais wa mpito wa Gabon Brice Clotaire Oligui Nguema, Rais wa Mauritania Mohamed Ould Ghazouani, Rais wa Mauritius Prithvirajsing Roopun, Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Niger Ali Mahamane. Lamine Zeine.

Viongozi hao walilakiwa na Naibu Gavana wa Riyadh Prince Mohammed bin Abdulrahman walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Khalid.

Mkutano wa kwanza wa kilele wa Saudia na Afrika unalenga kuimarisha uratibu wa kisiasa, kushughulikia vitisho vya usalama vya kikanda, kukuza mabadiliko ya kiuchumi kupitia utafiti na maendeleo ya ndani ya suluhisho mpya za nishati, na kuongeza ushirikiano wa uwekezaji.

Wakati huo huo, Rashad al-Alimi, Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Rais wa Yemen amewasili Riyadh kuhudhuria vikao vya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuhusu mzozo wa Israel na Palestina.

RIYADH: African leaders have begun arriving in the Kingdom for the Saudi-Africa summit which starts on Friday, the Saudi Press Agency reported.

They heads of state include Nigerian President Bola Tinubu, Eritrean President Isaias Afwerki, Gabonese interim President Brice Clotaire Oligui Nguema, Mauritanian President Mohamed Ould Ghazouani, Mauritius President Prithvirajsing Roopun, Malawian President Lazarus Chakwera, Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Nigerien Prime Minister Ali Mahamane Lamine Zeine.

The leaders were greeted by Riyadh Deputy Gov. Prince Mohammed bin Abdulrahman upon their arrival at King Khalid International Airport.

The inaugural Saudi-Africa summit aims to enhance political coordination, address regional security threats, promote economic transformation through research and the local development of new energy solutions, and boost investment cooperation.
Meanwhile, Rashad al-Alimi, Chairman of the Yemeni Presidential Leadership Council, arrived in Riyadh to attend the summits of Arab and Islamic nations on the Israeli-Palestinian conflict.
SPA.
 
Anafanyia Kazi angani
Urais ni Taasisi kubwa sana. Fursa zinatafutwa na siyo kukufuata kwako ukiwa umebweteka tu. Rais wetu anatutafutia fursa za uchumi na nijukumu letu watanzania kuchangamkia fursa hizo .
 
Huyu mchizi bado hajalamba shavu? Siyo kwa uchawa huu
Vitu vyote Duniani vyenye mafanikio na vilivyofanywa vizuri ni vile vilivyofanywa na mioyo ya kujitolea isiyotanguliza maslahi binafsi au kuhitaji malipo au fadhila.kazi yangu ni kuuzungumza ukweli na siyo kuandika kwa ajili ya kuhitaji malipo au fadhila.kama hilo ndilo lingekuwa lengo kuu basi ningekuwa nimekataa tamaa na kupotea kabisa huku jukwaani .

Kwa kuwa nafanya kazi hii ya kuandika ukweli kwa uzalendo na hiyari yangu ndio maana bado tunaendelea kuwa sote ndani ya jukwaa hili , tukiendelea kuhabarishana habari mbalimbali, kukosoana na kushauriana kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

Hata wewe hapo ulipo utakubaliana nami kuwakazi nzuri na mafanikio makubwa uliyoyapata katika maisha yako ni yale ambayo yalitokana na kufanya kwa moyo wa kujitolea na kwa hiyari pasipo kusukumwa na mtu au kutegemea kupata fadhila fulani.
 
Back
Top Bottom